Ushauri baada ya kumaliza dozi ya TB

Ushauri baada ya kumaliza dozi ya TB

machiaveli

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
2,334
Reaction score
5,326
Nilikuaga nasumbuliwa na kifua nikapiga X-ray wakaniambia nina TB, so wakanianzishia dozi since June mwaka jana tarehe 14.

Nikawa nahudhuria kliniki kila baada ya wiki mbili kuchukua dozi na kila siku nilikuwa nameza vidonge vinne bila kukosa!

Baada ya miezi miwili hivi mwezi wa 8 mwaka jana kifua kikapona kabisa, ila sikupuuzia coz Daktari aliniambia ni lazima nimalize dozi.

Basi nikaenda na vidonge vya Rifampicine kama kawa. Ilipofika tarehe 14 mwezi 12 mwaka jana nikawa nimemaliza miezi 6 ya dozi!

Sikurudi tena kliniki kucheki, coz nilikuwa mbali na mara ya mwisho niliomba wanipe dozi ya mwezi kwasababu nilisafiri kikazi
kwasasa niko poa yaani kifua hakinibani tena.

Je, kuna umuhimu wa kurudi kupiga X-ray tena kucheki kama nimepona au nivunge?

Maana nasikia X-ray zina madhara pia kiafya.

Ushauri wenu madaktari.
 
Rudi upate hakika

Sent from my SM-J700H using Tapatalk
 
anza dozi ya ndizi mbivu kula kila siku asubuhi walau lisaa au masaa mawili kabla ya kula chochote....baada ya mwezi utupe mrejesho....TB itaisha ..nliona mahali hii na tuliijaribu kwa rafiki yangu and it worked
 
Back
Top Bottom