Naomba kujua kiwango cha damu kinachohitajika kwa Mama Mjamzito

Chukua matembele, yapashe Moto kidogo then bled, halafu anywe , nusu Lita asubuhi, nusu nyingine jioni, anaweza weka chumvi kidogo ili kuleta ladha, fanya hivi kwa wiki moja tu, then rudi hapa kunishukuru

Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hoja.
Mke wangu alikua na 9.0 mwezi mmoja kabla ya kuijifungua.
Akapiga matembele na supu yake damu ilipanda mpaka 13
 
Ikipungua 8.5 ni hatari sana. Inbidi iwe zaidi ya 8.5 hapo mama kijacho anakuwa salama
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom