Gastric trichobezoar'' ni ugonjwa ambao ni nadra sana kutokea, husababishwa na supu ya kongoro

OCC Doctors

Senior Member
Jul 20, 2018
104
151
Gastric trichobezoar'' ni ugonjwa ambao ni nadra sana kutokea, ni hali ya kuwa na uvimbe ulioundwa na nywele ndani ya njia ya kumengenya chakula. Mtu hupata shida ya kumeza, usumbufu wa tumbo, maumivu ya tumbo, kuvimba kwa tumbo, upungufu wa pumzi na udhaifu wa mwili. Mara nyingi hali hii huwapata wanaokula Supu ya Makongoro, kitoweo cha miguu ya ng'ombe ambacho hupikwa ikiwa imeambatana na ngozi yenye manyoya.
Fully-extracted-gastric-trichobezoar-composed-of-hair-extensions-cast-in-the-shape-of-the.jpg
 
Back
Top Bottom