Hivi chips mayai ni hatari kuliko vyakula hivi?

Nov 28, 2019
5
133
Watu wengi huwa wanasema chipsi mayai ni hatari je ni kweli ni hatari kuliko miguu, utumbo, pamoja na vichwa vya kuku wakisasa? au kalmati, ndizi zilizokaangwa kwa mafuta na vitumbua? Au nyanya nazi za kopo au mboga mboga zilizotunzwa kwa madawa mashambani?

Ni viazi na mayai ndio vilivyopo kwenye chipsi mayai
 
Nenda na nyakati. Kwasasa chakula hatarishi zaidi ni nyama popo kwani inaebeza kirusi hatari Cha Corona duniani kote.
 
Naamini kila kitu kiliwe kwa kiasi na kujitahidi kuwa natural zaidi kadri uwezavyo

Dona tu ukikomaa nayo sana kuna 'sumu kuvu'
 
ety wanasema sahani 1 ya chips ina mafuta kikombe kimoja, huu ni upuuzi wa hali ya juu.

ukipikia chips mafuta ya vikombe vi3 na ukapata sahani 3 ina maana yale mafuta yatakuwa yameisha.?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom