Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Habari, Mwanangu wa miezi mitano anapandisha joto usiku tu,tulienda hospital alipimwa malaria na UTI hana ila walisema damu chache. Tulipewa dawa atumie lakini tatizo bado lipo. Tunaomba...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hakuna ubishi baadhi ya wanaume hutumia wallet (pochi) kuhifadhia fedha, kadi za matibabu na za benki, bila kujua madhara wanayoweza kuyapata endapo watazikalia. Akizungumza na Mwananchi katika...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Leo ten tumekuja na mafunzo kwa wanawake, kuna baadhi ya wanawake ambao wana harufu mbaya sana katika sehemu zao za siri, sasa nimeitengeneza video hii kwa ajili ya kuwaelimisha njia ya kujitibu...
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Nina ndugu yangu ni mgonjwa wa sukari. Nahitaji kumnunulia mashine ya kupima. Ipi ni aina bora ya mashine ya kupima sukari lakini inayouzwa kwa bei nzuri/nafuu. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Naomba kuuliza, kwa wataalamu, maana ninyi ndio wataalam. Je, baada ya PEP naweza kutumia rapid test kujipima ama lazima niende hospitali? Je, kati ya rapid test na uni-gold ni kipimo ganj kiko...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Wakuu nasumbuliwa na tatizo la nyongo na ni kwa kipindi kirefu sana, huwa na tumia dawa za kienyeji za kutapika nyongo but huwa tatizo linarudi palepale baada ya muda fulani. Huwa nyongo ikipanda...
0 Reactions
7 Replies
10K Views
[emoji1593]Wataalamu wa matibabu wanaonya kuwa kutibu madhara ya sumu hii huhitaji teknolojia ambayo ni ghali mno na kuwa sio nchi nyingi zina uwezo wa kuyatibu. [emoji1593]Kwa hiyo ukipata sumu...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Moja kwa moja kwenye mada. Hali hiyo ya Jogoo kuwika pasipo kawaida imentokea siku za hivi karibuni. Imezoeleka mwanaume yeyote akiamka asubuhi jogoo huwika lazima na baada ya muda fulani hali...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Wadau hivi majuzi nilishikwa na kama kichomi fulani hapa juu ya tumbo yani katikati ya tumbo na kifua sikulala kabisa usiku wake. Sikuwahi kutokewa na hali hii hiyo ndiyo ilikua mara ya kwanza...
3 Reactions
132 Replies
219K Views
Ukweli kuhusu chumvi na maajabu yake: Stori kuhusu chumvi: Tunapata chumvi nyingi kwenye vyakula vyetu siku hizi. Chumvi nyingi itasababisha shinikizo la damu, uvimbe, matatizo kwenye kibofu...
1 Reactions
1 Replies
6K Views
MAKONDA AFANIKISHA SAFARI NA MATIBABU YA AHMED ALBAITY CHINA NDOTO na shauku ya kijana Ahmed Albaity alieteseka kwa zaidi ya Miaka 10 Kitandani kwa kushindwa kumudu gharama za matibabu leo...
1 Reactions
15 Replies
5K Views
Wakuu hodi humu, Naomba kufahamu ni nini hasa kinasababisha wanawake (baadhi) kutokwa na utando mwingi sana wakati wa tendo la ndoa? Mimi ni mvulana na kitu hiki huwa kinaniboa sana tunapokuwa...
1 Reactions
24 Replies
7K Views
Halo JF Doctor. Nina tatizo la kutoka mafuta yaliyoganda yenye harufu kali. Mafuta haya hutokea ktk matundu mawili mwisho wa ulimi karibu na koo. Huwa kuna tundu la kulia na kushoto na nimejua...
1 Reactions
17 Replies
46K Views
Leo ni siku ya tatu, tangu mwanangu aanze kuharisha. Sijajua sababu ni nini. Kabla sijampeleka hospitali, naombeni msaada wenu wa mawazo. Kwa maana umbali hadi hospitali ni maiili nyingi mno, na...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Mafua yanasababishwa na simple virus, virus huyu ni simple kiasi cha kuweka kuuliwa na kinga ya mwili. Huambukiza kwa njia ya hewa, incubation period huchukua siku 3-7. Hushambulia epithelial...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Miezi 3 iliyopita nilibahatika kupata mtoto wa kike. Baada ya hapo sikuruhusiwa kulala na mke wangu kwa miezi mitatu mfululizo. Ndani ya miezi hiyo yote mitatu mtoto alipelekwa klinic na uzito...
1 Reactions
31 Replies
6K Views
JF Doctors nauliza, je! Yana matatizo kiafya? Maana yamesemwa mengi, mengine yanatisha. Kwenu wataalamu wa Afya!!
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna kipindi hapo nyuma wiki iliyopita nliweka post hapa Kidole changu kimevimba na kinauma ,Nilienda hospitalini waliniambia nitumie dawa za ammoxylin na panadol lakini hazikusaidia...
17 Reactions
34 Replies
17K Views
1) Je, kuna uwezekano wa mama aliyejifungua kupata ujauzito baada ya hedhi kutoka? (siku mbili baada) 2) Je, kuna madhara gan kwa mama anaye nyonyesha kutumia vidonge vya uzazi wa mpango...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ilianza vipele vidogo sana alafu vyekundu usoni karibu na pua mara baadae nikaviona tena chini ya jicho kesho yake asubuhi vikawa vimeshajaa maji japo sio vyote, lakini naona kama vile...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Back
Top Bottom