Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

wadau au Ma-Dr..wengi kati yetu tuliwahi kula mchanga wakati wa udogo/utoto wetu...na tukapata Minyoo si mchezo...sasa tumekuwa wakubwa tunaanza kuwaona watoto wetu au wa wenzetu wakila...
0 Reactions
5 Replies
12K Views
Naomba kuuliza wajuzi na ushauri juu ya funga ya saumu na ugonjwa wa diabetics ama kisukari. Madaktari wanakataza wenye kisukari wasifunge. Naomba kujuwa athari za mwenye kisukari akifunga...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nafaka iliyokoborewa ni hatari na inaweza leta CANCER ya tumbo (COLON).
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mi sio mwenyeji saaana ila i think am at the right place kueleza kashida kangu. Since 2003, i've been experiencing heart burn everyday after having breakfast. I've tried to use a syrup...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wear a sunblock every day... The primary cause of premature aging is exposure to the sun without adequate care and protection. Don't wash your skin too often... Washing strips oil and...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimewahi kusikia mara nyingi kwamba watoto wanaozaliwa kwa operation ya kupangwa (yaani mama tangu anavyoanza kuhudhuria Cliniki daktari anamwambia kutokana na nyonga yako au kutokana na njia ya...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Down syndrome (DS), also called Trisomy 21, is a condition in which extra genetic material causes delays in the way a child develops, both mentally and physically. It affects about 1 in every 800...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Dont we love 'research'? Nursing not behind saggy breasts :) Pregnancy may make breasts sag, but nursing does not make it worse Contrary to popular belief, breastfeeding does not...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
The key to the problem is CALORIES-too many of them.Overweght happens when you eat more calories than your body can use.Whether calories com from fat,protein,sugar or starch,the leftovers are...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kuwauliza wale wenye utaalamu wa afya na wanabodi kwa ujumla hivi sasa wakulima wa mbogamboga wanatumia dawa ya ngao kupulizia kwenye mbogamboga kuwaua wadudu waharibifu hiyo dawa haiwezi...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
...Hakuna utamu maskioni kama siku ya siku mbele ya kaasisi, shekhe, au msajili bomani unapotamka/tamkiwa maneno haya;... "I take you, _____, to be my husband/wife from this day forward...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Habari za kuaminika toka kwa jamaa yangu ambaye ni polisi -FFU pale morogoro amesema kuna vurugu kubwa sana zinaendelea, wazazi wamevamia mashule wanapiga wafanyakazi wa afya, na wamemwaga dawa za...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
BRAIN DAMAGING HABITS: 1. No Breakfast People who do not take breakfast are going to Have a lower blood sugar level. This leads to an insufficient supply of nutrients to the brain causing brain...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
eti jino likilegea kiasi, kwa ajili ya ajali, ni lazima litoke au litabana lenyewe?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Waislamu wapinga upimaji ukimwi kabla ya ndoa Shabani Matutu Tanzania Daima~Sauti ya Watu UKIMWI ni miongoni mwa maradhi yanayowasumbua wataalamu duniani kote, unawaumiza vichwa kutokana na...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Halooo, nadhani humu kuna madaktari wengi wazuri. kuna rafiki yangu mmoja, nilimshauri aende hospital, kwasababu anasema, analo tatizo, anaona vitu kama vinatembeatembea mwilini mwake...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Brain Aneurysm What is a brain aneurysm? A brain (cerebral) aneurysm is a bulging, weak area in the wall of an artery that supplies blood to the brain. In most cases, a brain aneurysm causes...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba kuwasilisha. Wengi tunahesabu umri wetu kwa miaka, lakini nilipata fursa ya kumsikiliza Dr mmoja akanishawishi nikubaliane naye. Haijalishi una miaka mingapi tangu uzaliwe, ila kama una...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Hivi ni kweli kuna watu wanazaliwa Gays/Lesbians? ama ni tabia tu kama tabia nyingine kama Uasherati, Uzinzi, Ukahaba, au ulevi, tabia ambazo mtu anajifunzia ukubwani kutokana na msukumo wa maisha...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nimesoma mahali, je ni kweli wabongo tunatuka midomo, najua thread hii haitawapendeza baadhi.
0 Reactions
27 Replies
10K Views
Back
Top Bottom