NgomaNzito
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 559
- 27
Naomba kuwauliza wale wenye utaalamu wa afya na wanabodi kwa ujumla hivi sasa wakulima wa mbogamboga wanatumia dawa ya ngao kupulizia kwenye mbogamboga kuwaua wadudu waharibifu hiyo dawa haiwezi kuwa na madhara kiafya?