Naomba kuwasilisha.
Wengi tunahesabu umri wetu kwa miaka, lakini nilipata fursa ya kumsikiliza Dr mmoja akanishawishi nikubaliane naye.
Haijalishi una miaka mingapi tangu uzaliwe, ila kama una kiungo kimechoka, hujakitunza vizuri, hicho ndicho kitakupeleka kaburini.
Mfano kama hutunzi mapafu yako, hata ukiwa na miaka 27, mapafu yako yanaweza kuwa kama ya mtu wa miaka 80 kwa ajili ya matunzo unayoyapa, hivyo kuwa mzigo kwa mwili na kukupelekea uwe mzee japo umri wa kuzaliwa si mkubwa sana.
Kama ngozi, moyo, mfumo wa chakula, mfumo wa damu, wa neva, nk, kama usipotunzwa tangu mapema, unaanza kuzeeka kabla ya wenzake na kufanya uwe kikwazo cha viungo vingine.
hii hupelekea kuwa mzee japo kiungo kizee ni kimoja tu.
Tutunze viungo vyetu. Kila kimoja kwa namna inayotakiwa.