msaada tutani

Haika

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,347
560
eti jino likilegea kiasi, kwa ajili ya ajali, ni lazima litoke au litabana lenyewe?
 
Binafsi nakushauri ukamwone dentist,kama katika wanajf kuna dentist si vibaya ukamsaidia ndugu yetu huyu.Nina imani akisha kuona atajua tatizo ni kubwa kiasi gani.Na yeye ndo atajua ung'oe au la.
 
Back
Top Bottom