Eti ni kweli wabongo tunanuka midomo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti ni kweli wabongo tunanuka midomo?

Discussion in 'JF Doctor' started by pipikali, Dec 7, 2007.

 1. pipikali

  pipikali Member

  #1
  Dec 7, 2007
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nimesoma mahali, je ni kweli wabongo tunatuka midomo, najua thread hii haitawapendeza baadhi.
   
 2. K

  Kufakunoga Member

  #2
  Dec 7, 2007
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  what is the source? is it udaku or researched?be specific please.
   
 3. pipikali

  pipikali Member

  #3
  Dec 7, 2007
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kufakunoga nawakilisha. Reference ni nyingi na za kitaalamu.tukiachia maoni. mimi pia nikutana hali hii maranyingi.
  Toa maoni

  http://issamichuzi.blogspot.com/2006/10/denda.html
  http://issamichuzi.blogspot.com/2007/02/pamba.html
  http://www.blackwell-synergy.com/doi/abs/10.1111/j.1601-5037.2006.00186.x?cookieSet=1&journalCode=idh
  http://www.a1articles.com/article_226274_17.html
   
 4. Makanyaga

  Makanyaga JF-Expert Member

  #4
  Dec 7, 2007
  Joined: Sep 28, 2007
  Messages: 2,498
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 160
  YOUR HIGHNESS "Pilipili Kali" (wanana excuse me in case I have missspelt your name)
  UNAMAANISHA NINI? YOU MEAN NI WABONGO TU AMBAO BAADHI YAO HUWA WANANUKA MDOMONI? WENGINE JE? UNA UTAFITI ANGALAU KIDOGO WA KUWATHIBITISHIA HILO WABONGO? JAMANI MIMI NIKO BONGO, SIKO ULAYA WALA WAPI. HILI TATIZO HUWA NALIONA, ILA SIAMINI KAMA NI WABONGO TU WENYE KUWA NA TATIZO HILI. TATTIZO LETU SISI WABONGO MAISHA MAGUMU, HIVYO BAADHI YA WATU WENGINE WAKICHANCE KI-AINAAINA KI-NAFASI CHA CALIFORNIA, HALAFU SHULE KICHWANI HAMNA, BASI KWAKE YEYE KILA KITU KIBAYA ANAKIAMBATANISHA NA WABONGO,... My God, what a silly ideology?
   
 5. pipikali

  pipikali Member

  #5
  Dec 7, 2007
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nakiri si wabongo tuu,nimeshakutana na watu wa mataifa mbalimbali na nimeliona hilo ila maranyingi nimekuwajaribu kufany autafiti nimeona aina ya vyakula tunavyokula vinachangia kwa kiasi kikubwa, swala la kipato na hali ya maisha pia vinachangia.
  Nafikiri swala ningeuliza ni nini hasa kinachangi kunuka mdomo kuliko wabongo wananuk amdomo.
  Nawakilisha
   
 6. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #6
  Dec 25, 2007
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Harufu mbaya mdomoni huweza kusababishwa na magonjwa yanayoshambulia ini, hasa safura. Tanzania ina maambukizi mengi sana ya safura kwa hiyo sishangai kama tatizo hili ni kubwa hasa watu wa kanda ya ziwa.
   
 7. mtuwawatu

  mtuwawatu Senior Member

  #7
  Dec 25, 2007
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hili swala ni kweli kabisa, ila sijui safura ndio nini, je unaweza kunifafanulia zaidi. Japokuwa pipi kali ameuliza swali mimi naona kunaukweli ndani yake kwani nimekutana na swala hili maranyingi lakini nahisi itakuwa ni ugonjwa ambao ni common sana, na watu wengi huwa hawajui, na wajuao huona haya kuwaambia, hivyo ni complex issue!
   
 8. Bin Maryam

  Bin Maryam JF-Expert Member

  #8
  Dec 27, 2007
  Joined: Oct 22, 2007
  Messages: 685
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Watanzania hivi mnakuwa mkisoma na kuelewa vitu. Paper inasema


  Abstract: Objectives: To determine the oral hygiene practices, periodontal conditions, dentition status and self-reported bad mouth breath (S-BMB) among young mothers.


  Mara nyingi harufu inatokana na bakteria.
   
 9. Bowbow

  Bowbow JF-Expert Member

  #9
  Dec 27, 2007
  Joined: Oct 20, 2007
  Messages: 545
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Quick search sababu za kunuka mdomo ni hizi hapa


  What you eat affects the air you exhale. Certain foods, such as garlic and onions, contribute to objectionable breath odor. Once the food is absorbed into the bloodstream, it is transferred to the lungs, where it is expelled. Brushing, flossing and mouthwash will only mask the odor temporarily. Odors continue until the body eliminates the food. Dieters may develop unpleasant breath from infrequent eating.  If you don't brush and floss daily, particles of food remain in the mouth, collecting bacteria, which can cause bad breath. Food that collects between the teeth, on the tongue and around the gums can rot, leaving an unpleasant odor.


  Bad breath can also be caused by dry mouth (xerostomia), which occurs when the flow of saliva decreases. Saliva is necessary to cleanse the mouth and remove particles that may cause odor. Dry mouth may be caused by various medications, salivary gland problems or continuously breathing through the mouth. If you suffer from dry mouth, you may use sugarless candy and increasing your fluid intake.


  Tobacco products cause bad breath. If you use tobacco, find tips on kicking the habit.


  Bad breath may be the sign of a medical disorder, such as a local infection in the respiratory tract, chronic sinusitis, postnasal drip, chronic bronchitis, diabetes, gastrointestinal disturbance, liver or kidney ailment. If a dentist determines that your mouth is healthy, you may be referred to a specialist to determine the cause of bad breath.  Maintaining good oral health is essential to reducing bad breath. Schedule regular dental visits for a professional cleaning and checkup. If you think you have constant bad breath, keep a log of the foods you eat and make a list of medications you take. Some medications may play a role in creating mouth odors. Let the dentist know if you've had any surgery or illness since your last appointment.  Brush twice a day with fluoride toothpaste to remove food debris and plaque. Brush your tongue, too. Once a day, use floss or an interdental cleaner to clean between teeth.  Mouthwashes are generally cosmetic and do not have a long-lasting effect on bad breath. If you must constantly use a breath freshener to hide unpleasant mouth odor, see a dentist. If you need extra help in controlling plaque, the dentist may recommend using a special antimicrobial mouth rinse. A fluoride mouth rinse, used along with brushing and flossing, can help prevent tooth decay.

  http://www.tanzaniafinancials.com/Magazine/Health/dentalhealth/index.htm
   
 10. S

  Sunshine OLD Member

  #10
  Jul 21, 2008
  Joined: Jul 17, 2008
  Messages: 51
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Binafsi naona ni swala la usafi.
  When one is concious with his cleanliness, all will be fine.
  Naturally we all have our own smells like sweat etc.
  It's just a matter of knowing how to handle things the right way.
  Na kuwa na machale ya ku-maintain cleanliness all day long.
  Au vipi?
   
 11. NaimaOmari

  NaimaOmari JF-Expert Member

  #11
  Jul 22, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 807
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  i look at it from this point of view ... kukaa mda mrefu bila kula ... maisha yamekuwa magumu .. that mtu anashinda na njaa karibu siku nzima... you can try it out yourselves ... from asubuhi mpaka jioni hata upige mswaki asubuhi bado utanuka mdomo .... tuombeni maisha yakiwa mazuri kidogo and everyone can afford meals 3 times a day ... that would be the end of stinking mouths
   
 12. Kevo

  Kevo JF-Expert Member

  #12
  Jul 22, 2008
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,332
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  vilevile kukaa kimya muda mrefu unaipa bacteria za mdomoni nafasi ya kuwa active thus mdomo kutema.
   
 13. ChocolateColor

  ChocolateColor Member

  #13
  Jul 22, 2008
  Joined: Jul 18, 2008
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huo ni uchafu mi nilishaona mtu anakunywa chai hajapiga mshwaki anakula lunch yaani mpaka dinner anakuja kupiga mswaki jioni eti anasema ule uchafu wa mdomoni ni dawa we utaacha kunuka mdomo kweli????
   
 14. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #14
  Jul 22, 2008
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  This is unfair to generalise that wabongo wananuka midomo!
  Swala la oral hygiene ni personal....kama mtu mmoja atakuwa mzembe kujitunza..madhara yake hayawezi kusambaa kwa kila mmbongo .....what have all the wabongo got in common mpaka wote wanuke midomo??
  Wachangiaji waliotangulia wameshajaribu kufafanua sababu zinazopelekea hali hiyo.... they are not of general application.
   
 15. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #15
  Jul 22, 2008
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...mnh, '...samaki mmoja akioza...'

  lisemwalo lipo, ila tatizo ni kwamba wengi hawautaki ukweli kwa kuwa unauma. Hii yote inatokana na afya ya jamii kwa ujumla. Inapofikia hatua ya bidhaa kama mswaki, dawa ya meno, matibabu ya meno, antibacterial mouthwash, au matumizi ya deodorants kuepusha kikwapa inaonekana ni Luxury items, jua hapo kuna tatizo.

  Kwa wote wataonuna na swali hili, wajiulize binafsi wanautumia mswaki kwa muda gani kabla ya kuununua mwingine? hamjaona miswaki imechakaa mpaka zile brittles zimebakia za kuhesabika?

  Tujiulize, ni wangapi tushahudhuria Dental clinic in the past 6months mpaka mwaka mmoja ulopita, hata kama ni kwa check up tu! Ni wangapi tunaowafundisha na kufuatilia kupiga mswaki kwa wanetu?

  penye kufuka moshi pana umoto ndani yake, hili tatizo ni kweli, na linahitajika ufumbuzi wa haraka kukabiliana na taifa la vibogoyo huko usoni. Hivi Dentures zinapatikana Bongo, au kwa wenye uwezo tu?

  Nawakilisha.

  :D
   
 16. Wakunyuti

  Wakunyuti JF-Expert Member

  #16
  Jul 22, 2008
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 380
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  hehe..eti wabongo wananuka midomo duuh!! hii kweli kali.....wazungu hawanuki???
   
 17. NaimaOmari

  NaimaOmari JF-Expert Member

  #17
  Jul 22, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 807
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  kwani hujui kama kuna tatizo ... pesa pesa pesa ... if you are talking about the upper class and the middle class people in society then fine ... but we .. the majority ... ofcourse the lower class i cannot affort all the luxury above ... kwanza to the dentist i go there when i know my jino is really in a critical condition especially that i did not sleep last night otherwise i will chew karafuu or even buy cafenol to place on it

  upo kaka ... this is reality
   
 18. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #18
  Jul 22, 2008
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160

  ...thats what i mean dada'angu, 500ml bottle ya Listerine mouthwash nimeikuta inauzwa 15,000/= pale mitaa ya kariakoo.. Roll on, deodorants nazo ndio hivyo, si chini ya 3,500/= kachupa ka ujazo wa 50ml. Miswaki imara bei yake imara vile vile. Kuonana na Dentist kwenye private hospital unafuu wake labda uwe unalipiwa kazini na AAR, mlala hoi dawa ya jino ni kulingoa, fillings mashaka matupu.

  Anyway, hata ughaibuni matibabu ya meno ghali, lakini angalau bidhaa za usafi wa meno na mdomo zina ahueni.
   
 19. NgomaNzito

  NgomaNzito JF-Expert Member

  #19
  Jul 23, 2008
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 561
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tupatieni dawa na ufumbuzi
   
 20. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #20
  Jul 23, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  ...Mh!!!! No no no nonoooooo!!! Kuna wengine hata akisafisha mdomo kwa mswaki na dawa ya meno in 5 minutes time mdomo unajibu....Kwa kweli ni kero sana nadhani wale wenye haya matatizo it's better wakapata ushauri wa ma-dentist otherwise ni noma unaweza kukuta kademu kako bomba kinoma lakini kinywani we!!!!!
   
Loading...