Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,745
- 7,780
Hivi ni kweli kuna watu wanazaliwa Gays/Lesbians? ama ni tabia tu kama tabia nyingine kama Uasherati, Uzinzi, Ukahaba, au ulevi, tabia ambazo mtu anajifunzia ukubwani kutokana na msukumo wa maisha na jamii inayomzunguka?
...au ushoga ni 'Genetically', mchanganyiko wa Chromosomes ndizo zinazompelekea mtu kuwa 'huku hayuko, kule hayuko'?
...Utamsaidiaje mtu wako wa karibu ambaye mwelekeo wake unaashiria matamanio yake kimwili yanaelekea kuzidi kwa mtu wa jinsia moja na yeye bila kumuathiri kisaikolojia, wala jamii inayowazunguka?