Kisukari na Funga ya Saumu

Timtim

JF-Expert Member
Feb 9, 2008
608
124
Naomba kuuliza wajuzi na ushauri juu ya funga ya saumu na ugonjwa wa diabetics ama kisukari. Madaktari wanakataza wenye kisukari wasifunge.

Naomba kujuwa athari za mwenye kisukari akifunga itakuwaje?
 
Asante kwa jibu sahihi.

Hata hivyo nilitaka kujuwa madhara yenyewe ni pamoja na nini?
 
Kuna aina mbili za kisukari type 1 ambayo mwili hautengenezi insulin[inayothibiti sukari mwilini]na unahitaji kujidunga sindano mbili kili siku,type 2 ambayo mwili unatengeneza insulin lakini haitoshi na unameza vidonge kuongezea.Nimekua na type 2 kwa miaka 10 sasa na nafunga kama kawaida.Fata masharti ya kutokula vitu vitamu,kufanya mazoezi na kumeza dawa.
 
Wapo wengi wanaofunga..Ninapoishi nina watu kama 2 wote wanafunga na wanaumwa sukari...mmoja hutumia sindano kujidunga...na mwingine hutumia vidonge...

Pia ninayo maelezo ya Dawa ya Kisukari...kuna mtu nilimpatia na ametumia for past 40days ameona kuna mabadiliko makubwa..Hawa nilinao wao wanajifanya washatumia madawa mengi...hivyo nimeachana nao..ukiwa interested nitumie PM..
 
Back
Top Bottom