Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Garlic is one of those ingredients that I always have on hand: there's a bulb on my kitchen counter and a jar of minced garlic in my fridge. I love it because not only does garlic add flavor and...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ninaomba msaada wenu maana mtoto wangu ameongezeka urefu wa sentimeta 4 na uzito wa kilo mbili ndani ya mwezi mmoja. Alipoenda kliniki jana baada ya vipimo hata daktari alishituka lakini ni...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Ninaogopa.... Ninajiogopa mimi mwenyewe, ninauogopa ugonjwa nilionao.- Kwani itatokea lini, itatokea lini? Kifo cha taratibu, au labda cha haraka na bila maumivu? Watu... Wale wasionionyesha...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hivi ni kweli kwamba mtu asipofanya ngono kwa miaka mingi anapata madhara??
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wana jf naomba kujua utasa kwa wanaumme unasababiswa na nini?
0 Reactions
0 Replies
3K Views
UVIMBE WA UTANDU WA UBONGO NA UTI MGONGO NI NINI? Huu ni ugonjwa unaothiri sehemu inayofunika ubongo na uti wa mgongo, yaani utandu. Ubongo unafunikwa na sehemu au tandu tatu nyembamba za seli...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Je, unajua historia ya magonjwa ya familia yako? Pengine unajua tu kuhusu mambo makubwa. Usishangae kwa mfano, kugundua kuwa nyanyako mkuu na dada zake watatu wote walikufa kutokana na saratani...
0 Reactions
7 Replies
12K Views
Kipigo ni nini? Pia huitwa ugonjwa wa kuvamia bongo. Hutokea wakati ambapo mishipa ya damu ubongoni mwa mtu huziba na kupasuka na kufanya baadhi ya seli (Cells) za ubongo kufa. Hizi seli za...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
TB au Kifua Kikuu ni ugonjwa wa kuambukiza ambao husababishwa na viini viitavyo ‘tubercle bacilli’. Wengi wetu tuna viini vya TB mapafuni mwetu lakini hii sikumaanisha kwamba tutauguza huu...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Monday, 15 November 2010 11:00 By Bernard Lugongo As countries worldwide join hands to mark ‘Diabetes Day’ on November 14, the trend of the disease in Tanzania is still worrisome...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
WANASAYANSI wamegundua kuzuka kwa jamii nyingine ya mbu wanaoeneza malaria ambao wanatoa changamoto kwa wataalamu wa afya duniani, sasa kutakiwa kubuni mbinu mpya za kujikinga na ugonjwa huo...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakunga mbona huyo jamaa analalamika katoa matatizo ya waziriwake hamjamsaidia mpaka anakuja kulalamika kule kwetu jameni mfanyieni ungwana hi FJ kaziyake kusaidia watu samahani kama nimewakwaza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Rafiki yangu anatatizo la kupiga punyeto yaani anadai hayawezi kupita masaa sita hajapiga punyeto naombeni ushauri nimuambie madhara yake, na afanye nini kuepukana na tatizo hilo. Ahsante
0 Reactions
3 Replies
2K Views
i have this friend of mine who has been suffering with fungi problem for quiet sometime now.. he told me that he does everything right, like washing his feet well and with care, wearing a clean...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Sigara na marijuana ni miongoni mwa sababu zinazochangia kupungua kwa nguvu za kiume. Saababu zingine ni msongo wa mawazo, hofu au mashaka. Wanaume wengi wanaupungufu wa nguvu za kiume lakini si...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Matatizo ya akili husababisha tofauti jinsi mtu anavyo fikiria na kufanya mambo Fulani kulingana na uwezo wake wa kawaida. Pata habari kuhusu jinsi chanzo na dalili.Angalia cha kutizama, jinsi...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Hypoglycaemia A 'hypo' is when the blood sugar levels fall below normal. It's short for hypoglycaemia, which means low blood sugar. A hypo may occur: after an insulin injection after taking...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nauliza inakuaje mtu anakuwa anaendelea kuingia period wakati ana mimba? kuna frend wangu alikuwa ananisimulia mpk mimba imefika miezi mi5 bado alikuwa hajajigundua kama ni mjamzito coz alikuwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau wa afya! Mwanangu kaotea meno mawili ya mbele ndani ya fizi; ana umri wa miaka 5 na hajawahi kutoa meno. Nifanye nini na je kuna madhara gani mbeleni?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
UKIMWI Unaweza kufanya nini? Tanguliza kwa kujikinga unapofanya ngono Nenda ukapimwe iwapo una virusi vya Ukimwi Jua yote unayopaswa kujua kuhusu magonjwa...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…