kuingia period ukiwa na mimba!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kuingia period ukiwa na mimba!!

Discussion in 'JF Doctor' started by niwaellyester1, Nov 13, 2010.

 1. n

  niwaellyester1 Senior Member

  #1
  Nov 13, 2010
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 126
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  nauliza inakuaje mtu anakuwa anaendelea kuingia period wakati ana mimba? kuna frend wangu alikuwa ananisimulia mpk mimba imefika miezi mi5 bado alikuwa hajajigundua kama ni mjamzito coz alikuwa anaingia period kama kawa , ila alikuwa anaumwa sana kila wakati , ameangaika hospital kila ugonjwa hana , na ukimwi alipima hana , baadae akampata daktari aliyemshauri apime mimba ndio akakutwa nayo, sasa keshajifungua na kitoto kina mwezi mmoja , ila ambacho mie mpk ss celewi inakuaje alikuwa anaingia period kila mwezi wkt ni mjamzito?
   
Loading...