Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,690
- 33,931
UKIMWI
Unaweza kufanya nini?
Unaweza kufanya nini?
- Tanguliza kwa kujikinga unapofanya ngono
- Nenda ukapimwe iwapo una virusi vya Ukimwi
- Jua yote unayopaswa kujua kuhusu magonjwa yatokanayo na maambukizi ya Ukimwi, ambayo yanaweza kukuonyesha kimbele kuwa, pengine una ugonjwa wa Ukimwi
- Elewa njia zote unazoweza kutumia ili upate matibabu yanayofaa.
- Jua haki zako kama mgonjwa anayeugua ugonjwa wa Ukimwi
- Jihusishe na shughuli za kupambana na Ukimwi