Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,300
Wadau wa afya!
Mwanangu kaotea meno mawili ya mbele ndani ya fizi; ana umri wa miaka 5 na hajawahi kutoa meno.
Nifanye nini na je kuna madhara gani mbeleni?