Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Habari wana-JamiiForums, Kufuatia tahadhari za hivi karibuni kutoka Wizara ya Afya kuhusu magonjwa ya mlipuko (kama Ebola na Mpox) katika nchi jirani, ni muhimu kuchukua hatua za haraka kulinda...
0 Reactions
0 Replies
56 Views
Wakuu nina jino la uzeeni limeota mwisho kabisa upande wa juu. Mwanzo nimelivumilia nikajua likiota litapona maumivu, ila yamezidi na nikigusa naona jino linatokezea kwa pembeni nje ya usawa wa...
0 Reactions
2 Replies
109 Views
Uume wangu hausimami nina miaka 41
21 Reactions
171 Replies
3K Views
Tujuzane kuhusu uwiano wa tiba asili kwa mlingano wa tiba za kisasa,na jinsi ya kutumia kufikia kiwango cha tiba kusudiwa. >>Kuna wimbi la vijana wetu kuwa na mwili na sura za kizee,na wazee wetu...
3 Reactions
16 Replies
117 Views
Baada ya Mdau kuandika hoja kuhusu Viongozi wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) akidai wanakaa madarakani kwa muda mrefu bila ukomo wa wazi, hali inayopunguza uwakilishi na kuzuia mawazo...
0 Reactions
2 Replies
128 Views
BAWASIRI NI NINI? Bawasiri ni Ugonjwa unaotokana na kuvimba/kupasuka kwa mishipa ya dawa sehemu ya haja kubwa na kupelekea kuota kwa kinyama/Uvimbe ambao ndio huitwa Bawasiri. Sababu kubwa ya mtu...
2 Reactions
3 Replies
247 Views
Shinikizo la Damu ni nini? Shinikizo la damu ni nguvu ambayo damu hutumia kusukumwa ndani ya mishipa ya damu. Linapokuwa juu kuliko kawaida kwa muda mrefu, linaweza kuharibu moyo, ubongo, figo...
1 Reactions
0 Replies
100 Views
Nashindwa kuelewa baada ya kusumbuliwa na tezi dume nikafanyiwa upasuaji mambo yakawa Safi. Baada ya muda takribani mwaka imerudi tena nini chanzo au upasuaji ulifanywa kwa juu juu tu. Msaada...
5 Reactions
69 Replies
1K Views
Wazee wa chaputa mboo imechubuka kwa ndani, anayejua dawa naomba msaada. Mboo imechubuko kwa ndani syo nje. Miaka ni 25
0 Reactions
0 Replies
98 Views
Ofcourse mimi sijaoa na wala sina mke, ila nimepata kusikia wanawake baada ya kujifungua watoto wao, hukaa siku 40 ambapo anakua anatokwa na nifasi (damu inayotoka baada ya kujifungua). Baada ya...
5 Reactions
35 Replies
541 Views
Nimetafakari sana kisha nikajiuliza, inakuwaje leo hii Teknolojia imekua sana kuliko hata miaka hiyo ulipogunduliwa UKIMWI lakini bado dawa ya kutibu kabisa UKIMWI haijapatikana? Naomba mchango...
7 Reactions
81 Replies
1K Views
Chunusi na Vipele: Chanzo, Sababu, Dalili, Madhara na Jinsi ya Kutunza Ngozi Chunusi na vipele ni matatizo ya ngozi yanayowapata watu wengi, kuanzia vijana hadi watu wazima. Mara nyingi huonekana...
0 Reactions
1 Replies
344 Views
Miezi kadhaa iliyopita nilikubwa na misukosuko mingi sana kimaisha na magonjwa mbalimbali makubwa kuninyemelea ikiwamo high blood presha. Nikiwa kijana kabisa mwenye ndoto za maisha yangu...
29 Reactions
51 Replies
8K Views
Wanasayansi wanatumaini kuwa utafiti huu mpya utakuwa "mwanzo wa sayansi ya kisimi". Hatimaye wamefanikiwa kuchora ramani ya neva za kisimi, miaka mingi baada ya ramani ya neva za uume kuchorwa...
4 Reactions
26 Replies
598 Views
Wakuu Nina omba msaada wa Tiba mbadala kwa anaye fahamu. Natokwa na Damu puani . Ishu imeanza Ijumaa. Ijumaa imetoka mara 1 asubuh. Jumamos mara 2 asubuh na mchana Jumapil mara 5. Asubuh saa 3 na...
7 Reactions
74 Replies
1K Views
Wasalaam wataalam, Mtoto wangu mpendwa ana miezi nane ila mpaka sasa hajakaza kukaa mwenyewe kabisa ana uwezo wa kukaa dk mbili mpaka tano baada ya hapo anaanguka. Ndugu zanguni napata msongo...
4 Reactions
9 Replies
145 Views
DAWA MUJARRABU YA KUTIBU MENO Mahitaji 1.? Mafuta ya karafuu/clove oil. 2.? mafuta ya Nazi/coconut oil. 3.? Kitunguu maji. 4.? Kitunguu swaum. 5.? Pilipili manga. 6.?Chumvi ya...
3 Reactions
13 Replies
323 Views
Habari zenu wanajamvi. Iko hvi huyu mwanadada anaweza kua na shida Gani? Kwa maelezo yake alikutana na mpenzi wake mwezi mmoja uliopita lakini baada ya hapo ndani ya siku tatu akaaza hisi maumivu...
7 Reactions
79 Replies
1K Views
Jino linaniuma mno Sitaki kung'oa maana nishangoa Moja naogopa mapendo. Mwenye dawa ya dharula ya jino bila kung'oa aniekezee Nahitaji uamuzi wa kung'oa kuziba au kung'oa uwe wa mwisho baada ya...
6 Reactions
28 Replies
356 Views
Kwa mwezi wa tatu sasa, nimekuwa nikusumbuliwa na maumivu ya kifua pamoja na kiungulia. Baada kujaribu kulienda deep tatizo nimegundua nasumbuliwa na hilo tatizo. Naomba msaada wakuu
1 Reactions
69 Replies
718 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…