Habari zenu wanajamvi.
Iko hvi huyu mwanadada anaweza kua na shida Gani? Kwa maelezo yake alikutana na mpenzi wake mwezi mmoja uliopita lakini baada ya hapo ndani ya siku tatu akaaza hisi maumivu...
Jino linaniuma mno
Sitaki kung'oa maana nishangoa Moja naogopa mapendo.
Mwenye dawa ya dharula ya jino bila kung'oa aniekezee
Nahitaji uamuzi wa kung'oa kuziba au kung'oa uwe wa mwisho baada ya...
Kwa mwezi wa tatu sasa, nimekuwa nikusumbuliwa na maumivu ya kifua pamoja na kiungulia. Baada kujaribu kulienda deep tatizo nimegundua nasumbuliwa na hilo tatizo.
Naomba msaada wakuu
Nimetoka hospital muda si mrefu, nilikuwa na dalili kama za maleria. Baada ya kupima nimeambiwa nina mchafuko wa damu, nimemuuliza dakatari akasema "hutokea tu".
Nimemabatanisha dalili kwenye picha.
Habari za msimu huu wa Kombe la Dunia Wana-JamiiForums!
Mambo yamepamba moto, na ratiba ya mechi za usiku inatupa burudani sana. Scenario iko hivi: Mechi imeisha saa sita au saa nane usiku...
Wanasayansi wanatumaini kuwa utafiti huu mpya utakuwa "mwanzo wa sayansi ya kisimi".
Hatimaye wamefanikiwa kuchora ramani ya neva za kisimi, miaka mingi baada ya ramani ya neva za uume kuchorwa...
Wagonjwa wa Kisukari wanapaswa kuwa makini wanapoondoa nywele zao kutokana na hatari za kuumia ngozi. Hali ya Kisukari mara nyingi husababisha ngozi kuwa laini na mzunguko wa damu kuwa dhaifu...
Nimertumia sana asali, ginger, kitunguu swaaumu limao,.
Nimepiga hizo setrizine ila wapi
Nimepiga syrups nyingi sana na antibiotics
Ila wapi
Ngoma wala moyo sina...
Nisaidieni dawa bora...
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Geita (RMO), Dkt. Omary Sukari, alieleza jinsi mradi wa Scaling up Family Planning (SuFP) ulivyosaidia mkoa huo katika kuboresha mifumo ya takwimu na utoaji wa huduma za...
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Dk. Jairy Khanga ameeleza kwa kina kuhusu utekelezwaji wa Mradi wa Scaling up Family Planning (SuFP) Programme katika mkoa wake. Alibainisha maeneo...
1.🖇️ Uvutaji wa sigara
2.🖇️ Unywaji wa pombe
3.🖇️ Utumiaji wa vyakula au vinywaji vywenye Caffeine kama vile Kahawa,Chocolate, Soda nk
4.🖇️ Kula vyakula vyenye mafuta mengi/vyakula...
AINA ZA MATATIZO YA NGUVU ZA KIUME
Kwa bahati mbaya, wanaume wengi hukosa tiba sahihi za nguvu za kiume kwa kushindwa kutambua tatizo husika na dawa wanazopewa zinatibu tatizo gani.
Zifuatazo ni...
Binafsi nna mtoto na mwanamke mwingine ila kwa Sasa naishi na mwanamke mwingine tunapitia ugumu kupata ujauzito
Sitaki kumlaum mwenzangu natamani nipate hospitali yenye gharama nafuu Dar es...
Dawa zote zinazopatikana mahospitalini na maduka ya madawa zinaletwa kusaidia watu wenye matatizo mbalimbali, japokua baadhi ya dawa hizo huambatana na madhara madogo na makubwa kwenye mwili wa...
Wapendwa sijalala naugilia maumivu jino linanitesa hua linauma linaacha nimetumia dawa dawa hapo kati lakini Leo limeniamulia.
Kuhusu kutoa nimetoa meno kama ma 5 tokea udogoni Hadi hivi ukubwani...
Habari, natumaini mkoa poa, kuna yeyeto anaejua tiba ya Genital herpes au aliwai kupata na anakapoma ili aweze nisaidia na mie maana niko navyo sasa ni miaka mwili sijafanikiwa kupona.
-Zipo dalili nyingi ambazo huashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni,dalili hizo ni zifuatazo:⤵️⤵️
1.🖇️ Kuwaka moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,hali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.