Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

-Zipo dalili nyingi ambazo huashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni,dalili hizo ni zifuatazo:⤵️⤵️ 1.🖇️ Kuwaka moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,hali...
4 Reactions
3 Replies
253 Views
Wakuu naomba msaada. Nina homa kwa siku 4 sasa. Mwili unachemka, viungo vinauma, najisikia mchovu sana na sina hamu ya kula. Nimemaliza dozi jana usiku lakini bado sijapata nafuu. Ningependa...
8 Reactions
45 Replies
526 Views
Watanzania wengi wanakula kwa ajili ya kushiba, si kwa ajili ya afya. Nimegundua watu wengi huangalia chakula kwa lengo la kushiba tu bila kujali virutubisho au athari zake kiafya. Mara nyingi...
2 Reactions
5 Replies
187 Views
Nipo hapa Hospitali ya Taifa Muhimbili ya Upanga Kitengo cha Mifupa (MOI) nina mgonjwa ambaye tayari anaingia wiki ya pili tangu alazwe. Changamoto kubwa ni kuwa mgonjwa ana tatizo la mshipa...
6 Reactions
28 Replies
578 Views
Wana Jamii, Nimeamua kuandika hapa nikiomba ushauri na maombi kwa sababu nina tatizo ambalo limekuwa likinisumbua kwa muda mrefu. Tatizo langu: Kwa miezi kadhaa sasa, nimekuwa nikisikia sauti na...
0 Reactions
0 Replies
72 Views
Habri za siku nyingi vipendhy nimerudi tena mgonjwa wenu baadhi ya siku napatwa na hali ya moyo kwenda mbio sana na maskio km yanalia ziiiiiiii na nilishawahi kupima ecg nikaambiwa ipo normal kitu...
4 Reactions
13 Replies
304 Views
Niwe tu mkweli huyu mdudu ananitesa mno sina raha na maisha naona kila rangi za kuumwa jamani baada ya kukaliza dawa nimekaa wiki 3 leo nimepima tena bado imeonekana positive nimepewa dozi...
8 Reactions
32 Replies
696 Views
Kwanza kama hayajavuka Masaa 72, wahi Kituo Cha Afya, upewe Dawa ya kuzuia maambukizi ya Virusi vya UKIMWI. Hiyo ni Herpes , Herpes inawapata sana wenye UKIMWI --- --- --- Thread Rejea: -...
2 Reactions
16 Replies
850 Views
Ninasumbuliwa na maumivu makali ya meno na fizi ila sina jino lolote lililotoboka wala kukatika maumivu hasa muda wa usiku nashindwa kulala ni makali mno maumivu yanaenda hadi kichani na kweye...
2 Reactions
5 Replies
149 Views
Habari zenu wana JF. Ninaomba mwenye kujua dawa ya hili donda. Saivi lina miaka zaidi ya kumi, linakauka na kurudia tena. Hospitali za kawaida mpaka Muhimbili kwa kulazwa mwezi mzima. Limefika...
10 Reactions
172 Replies
8K Views
Habari wana jamii. Nahitaji msaada wa ugonjwa ambao umempata binti ambaye ni mtoto wa rafiki yangu mwenye umri wa miaka 18. Binti huyu ameugua ugonjwa ambao umeshindwa kutambulika ni ugonjwa...
10 Reactions
90 Replies
4K Views
Habari wakuu nimekuja kwenu kutaka ushauri? Mzee wangu alifanyiwa operation ya tezi dume mwaka2016 akawa freshi tu Sasa mwaka Jana mwezi wa 8 alifanyiwa kipimo Cha tezi dume Cha kupitisha kwenye...
2 Reactions
4 Replies
179 Views
Mzee wangu tangu akiwa mtoto aligundulika kuwa na moyo mkubwa na upo upande wa kulia, Tatizo hili limesababisha awe mgonjwa wa Pressure mara kwa mara. Miguu pia inamsumbua kwa nyakati fulani, Kwa...
0 Reactions
5 Replies
11K Views
Je, ni kawaida kwa mwanamke mwenye ujauzito kuwa anatapika frequently kiasi kwamba hakuna chochote anachoweza kula iwe ni maji ama chakula ni lazima atapike? NI ujauzito wake wa kwanza.📌 dawa...
0 Reactions
3 Replies
94 Views
Kujichua kwa wanawake au kwa lugha ya kitaalamu female masturbation, ni kitendo cha mwanamke kujisisimua kingono mwenyewe kwa kutumia mikono au vifaa (sex toys) ili kupata raha ya kimapenzi au...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Wapenda wa mtandao huu naomba usaidizi wenu kuhusu figili ( celery ) zinafaida gani , naomba wasomi mnifahamishe kupitia huu mtandao ...
2 Reactions
6 Replies
8K Views
Mwongozo wa matumizi ya teknolojia ya akili unde (Artificial Intelligence – AI) katika huduma za utra sound kwa afya ya mama na mtoto unatarajiwa kuwa suluhisho muhimu katika kuboresha ubora na...
0 Reactions
0 Replies
79 Views
Wakuu ni alfajiri hii siku ya leo, usishangae kwa nini nimeshika simu nakukaa kuandika uzi huu badala ya kujifunika gubigubi blanketi, hapo ujue ni kuwa usingizi umenipaa na dakika kadhaa...
50 Reactions
431 Replies
40K Views
Ngozi Inayowasha: Chanzo, Sababu, Dalili, Madhara na Jinsi ya Kujitunza Ngozi inayowasha ni hali ya kawaida ambayo watu wengi hupitia mara kwa mara. Wakati mwingine inaweza kuwa jambo dogo...
0 Reactions
0 Replies
244 Views
Back
Top Bottom