Herbatical equivalent (special threads)

Herbatical equivalent (special threads)

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
22,216
Reaction score
26,675
Tujuzane kuhusu uwiano wa tiba asili kwa mlingano wa tiba za kisasa,na jinsi ya kutumia kufikia kiwango cha tiba kusudiwa.
>>Kuna wimbi la vijana wetu kuwa na mwili na sura za kizee,na wazee wetu wale wanaojitambua kwa kula vitu ambavyo mwili huitaji,kuonekana bado vijana sana,
Mwili ni matunzo pamoja na kula vitu vizuri na kupunguza pombe,sisemi tusinywe hapana Bali tupunguze!

1000004748.jpg
 
Back
Top Bottom