Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Hakika JF inabidi kudumu DAIMA Maana huyu ndio kanifanya nimepona vidonda vya tumbo kwa gharama nafuu sana. Ambayo Mimi binafsi nimetumia elfu sita tu.
7 Reactions
9 Replies
328 Views
Hali zenu waungwana, Kwa atakaekuwa na ujuzi/msaada juu ya maumivu ya meno na fizi nitamshukuru mno. Ninasumbuliwa na meno kuuma hasa ya upande mmoja wa kinywa (kulia), yanavuta mpaka kwenye...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Hatimaye watia nyeto wote duniani wamepata utetezi wa kisayansi. Utafiti huu mpya umebaini kuwa kadiri mbegu zikihifadhiwa kwa muda mrefu pasipo kumwagwa ndivyo ubora wake unavyopungua. Dr...
16 Reactions
157 Replies
2K Views
kama unataka kuondoa kitambi tazama hii TikTok - Make Your Day This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok https://vt.tiktok.com/ZSQx73YMp/
2 Reactions
6 Replies
143 Views
Wakuu naombeni mnisaidie vyuo vikuu vinavyo ongoza kwa wadudu waitwao kunguni kwa dar es salaam
1 Reactions
5 Replies
198 Views
https://www.youtube.com/watch?v=AnVvgfeCJ4M Uzinduzi wa Bodi ya Wadhamini ya JKCI, Maabara ya Kisasa, Jengo la Utawala Hii ni Hafla ya uzinduzi wa Bodi ya Wadhamini ya JKCI, Maabara ya Kisasa...
2 Reactions
13 Replies
252 Views
Katika kile kinachoweza kuwa muujiza wa kuokoa na kuboresha maisha ya maelfu ya watu duniani, chanjo ya mRNA ya Urusi iitwayo Enteromix imeonesha ufanisi wa asilimia 100 na usalama katika...
4 Reactions
29 Replies
1K Views
Huu unaouona hapa ni "Uboho" BBC wame report haya chini Mtu mmoja aliyekuwa ameambukizwa UKIMWI amegunduliwa kuwa hana tena virusi hivyo baada ya kupandikiziwa seli za uboho(stem cells)...
11 Reactions
96 Replies
25K Views
Jambo watanzania wenzangu!! Katika kubadilishana maarifa ninaomba kuulizwa chochote juu ya dawa asili za mimea na mitishamba katika kutibu magonjwa mbalimbali. NB: Maswali hayo yasihusishe ramli...
9 Reactions
707 Replies
95K Views
Habari wakuu, Kama kichwa cha uzi kinavosomeka hapo juu, hili tatizo limeanza takribani miezi mitatu iliyopita. Ilitokea tu siku moja wakati wa kufanya tendo la ndoa nikawa nahisi maumivu, ila...
0 Reactions
71 Replies
101K Views
Baada ya mdau mmoja wa JamiiForums.com kudai kuwa mgonjwa wao amekaa zaidi ya wiki mbili katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) akisubiri kufanyiwa upasuaji, huku wakielezwa...
0 Reactions
1 Replies
204 Views
Ni ipi rangi ya ulimi wenye afya? Machapisho ya kisayansi na tafiti zinabainisha kuwa rangi ya ulimi wenye afya inapaswa kuwa ya ‘Pink’. Ulimi wenye afya pia huwa na vipele vidogo vinavyoitwa...
2 Reactions
0 Replies
133 Views
Paranoid schizophrenia ni aina ya ugonjwa wa akili unaohusishwa na kupoteza uwezo wa kutofautisha vizuri kati ya uhalisia na mawazo yasiyo ya kweli. Ingawa katika mifumo ya kisasa ya utambuzi wa...
1 Reactions
0 Replies
106 Views
Kuna shida kwenye kituo cha Afya Kimara Mavurunza. Mtoto chini ya miaka mitano hakishapatiwa huduma mzazi anaambiwa alipie dawa, na wakati mwingine huduma ni bure. Hii ni sawa wakuu? Soma Pia...
0 Reactions
0 Replies
195 Views
Mimi ni baba mwenye familia ya mtoto mmoja, umri miaka miwili lakini mtoto huyu amekua apitia changamoto ya kutapika saa zingine analala zaidi ya masaa 4 hajaamka, na muda mwingine ananguka kifafa...
8 Reactions
95 Replies
666 Views
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Florence Samizi, amewataka waganga wakuu wa hospitali zote nchini kuanzia ngazi ya taifa, kanda, mkoa, wilaya hadi vituo vya afya vinavyomilikiwa na halmashauri...
0 Reactions
1 Replies
182 Views
Kama kinavyoonekana hiki ndicho Kituo cha Afya Nyangoto, kinapatikana Mkoa wa Mara, Wilaya ya Tarime Vijijini, Kata ya Matongo (eneo kwa ujumla linafahamika kama Nyamongo). Changamoto yake Ni...
0 Reactions
2 Replies
257 Views
Tukio la daktari katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu (Somanda) kudaiwa kumpiga hadi kuzirai muuguzi katika hospitali hiyo limechikuwa sura mpya baada ya ufafanuzi...
2 Reactions
22 Replies
461 Views
Habar wakuu mim nimwanume umri miaka39 baada yakuhangaika sana na tatizo la nguvu za kiume kwa muda mrefu takribani miaka 9 bila kupata ufumbuzi.mwaka2023 nilibahatika kukutana na professor mmoja...
8 Reactions
26 Replies
1K Views
Juni 6, 2026 Daktari Bingwa wa Uzazi na Magonjwa ya Wanawake katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dkt. Nathanael Mtinangi amewashauri wanawake wenye changamoto ya kupata ujauzito kuepuka...
2 Reactions
9 Replies
316 Views
Back
Top Bottom