Habari zenu wanajamvi.
Iko hvi huyu mwanadada anaweza kua na shida Gani? Kwa maelezo yake alikutana na mpenzi wake mwezi mmoja uliopita lakini baada ya hapo ndani ya siku tatu akaaza hisi maumivu makali ya tumbo then akamtumia dawa za UTI sugu lakini hakupona.
Kisha akaanza kutokwa na uchafu, anaweza kua na ugonjwa gani.