I have the same problem....Kwa mwezi wa tatu sasa, nimekuwa nikusumbuliwa na maumivu ya kifua pamoja na kiungulia. Baada kujaribu kulienda deep tatizo nimegundua nasumbuliwa na hilo tatizo.
Naomba msaada wakuu
Nina tatizo hilo, ulipewa daw gani?Lilinisumbua pia sanaa, mpaka ilifika wakati nachukia kula, nkiona chakula nahisi ni adhabu, vyakula vya asidi, soda, kachumbari tulikuwa maadui.
nkaenda hospitali(ccbrt) wakanipima wakanambia nina kitu kama skosei wanaita “Hpylori” wakanipa dawa ( dozi ya mwezi).
Matokeo yake nakula kila kitu na nipo fresh kabisa now days.
Tafuta hospitali yakueleweka utapona.
Zingatia; dawa ina sehemu yake, mfumo wa kula ndo muhimu zaidi, kama bdo ni mtu wa pasi ndefu na kujibana dawa haitasaidie,. Kula kupita kiasi ni kichocheo cha tatizo hilo kwa asilimia kubwa.
Kula kidogo ila mara kwa mara
Mfano;
saa moja(chai pekee ya moto au maji ya moto) ,
saa nne(uji/chai+ vitafunwa)
saa nane(msosi wa kueleweka *sio kwa wingi)
saa kumi(chai/uji)
Cha usiku kuanzia saa 12~saa mbili * usichelewe kula usiku bora uache kula kama muda umeenda.
Pole sana mkuu.Kwa mwezi wa tatu sasa, nimekuwa nikusumbuliwa na maumivu ya kifua pamoja na kiungulia. Baada kujaribu kulienda deep tatizo nimegundua nasumbuliwa na hilo tatizo.
Naomba msaada wakuu
Amoxicillin doz ya siku 5, (2*3)Nina tatizo hilo, ulipewa daw gani?
Tafuta MatembeleNaomba msaada wakuu
Ile harufu ya tembele bichi naweza kutapika.Tafuta Matembele
Chukua Brenda saga hayo matembele weka maji glass 1
Baada ya kusaga vizuri kunywa km Juice
Matembele yana virutubisho vingi muhimu ambavyo ni:
Vitamini A
Vitamini C
Vitamini K
Vitamini B-complex (B1, B2, B3, B6, na folate)
Madini muhimu (chuma, kalsiamu, magnesiamu, potasiamu, na zinki)
Protini na nyuzinyuzi (fiber)
Antioxidants (Viambata vya kupambana na sumu mwilini)
Tumia siku 2 mpaka 3 utaona maendeleo yako yanavyokua
Option number 2Naomba msaada wakuu
Huwezi kutapika kwani ina shombo ile ni samaki?Ile harufu ya tembele bichi naweza kutapika.
Tafuta Matembele utanishukuru baadaeI have the same problem....
Amoxycilin na GERD? inakuwaje hapo mkuu naomba ufafanuzi.Amoxicillin doz ya siku 5, (2*3)
Clarithromycin dozi ya wiki 2, ( 1*2)
Omeprazole dozi ya siku 30 (1*2)
Nashauri ufike hospitali kwanza
Huo mmea utaenda kukaza LES, (lower esphageal sphincter) ilolegea?Pole, kwa mujibu wa tafiti mpya, GERD na ulcers zinachochewa na kuzidi kemikali inaitwa histamine 2 na siyo H pylori (Kila binadamu ana H pylori lakini si lazima apate ulcers)
Kuna mimea ya kubalance na kukaa sawa ikiwemo mtomoko, unga wa parachichi na mjaafari kwa ratio maalum.tuwasiliane kwa 0713039875
Moja wapo ya makatazo ukiwa na GERD ni mafuta, sasa hapo inakuwaje mkuuOption number 2
Nunua mafuta ya Mzeituni -Olive Oil yale ya kupikia
Kunywa kijiko 1 kikubwa cha chakula kutwa ×3, utaona hali yako inavyokua baada ya muda