Kwa nchi zinazoendelea Vidonda vya tumbo ni mojawapo ya matatizo ya kiafya yanayoathiri watu wengi. Hii inatokea pale ambapo ukuta wa ndani wa tumbo au sehemu ya juu ya utumbo mdogo unapopata...
Aisee hivi vidude vinanitesa nimekunywa kila aina ya matakataka ya dawa za hospitalini na tiba mbadala lakini bado vinanisumbua, angalau kidogo dawa zinaitwa legal kit zinisaidia lakini zingine ni...
Hello jamani hivi mtu akiwa anafanya mazoezi ya kuruka kamba yanasaidia kukata weight? Au tumbo. Please.
Wewe unataka kufanya mazoezi au unataka kukata certain parts of the body?
Hakuna mazoezi...
Aibu inaweza kuchelewesha kupona tatizo lako la Nguvu za kiume
Nguvu za kiume kupungua ni changamoto ya kiafya, si kosa wala aibu. Mwanaume anayezungumza mapema ana nafasi kubwa ya kuelewa chanzo...
Habari wana-JamiiForums,
Kufuatia tahadhari za hivi karibuni kutoka Wizara ya Afya kuhusu magonjwa ya mlipuko (kama Ebola na Mpox) katika nchi jirani, ni muhimu kuchukua hatua za haraka kulinda...
Wakuu nina jino la uzeeni limeota mwisho kabisa upande wa juu.
Mwanzo nimelivumilia nikajua likiota litapona maumivu, ila yamezidi na nikigusa naona jino linatokezea kwa pembeni nje ya usawa wa...
Tujuzane kuhusu uwiano wa tiba asili kwa mlingano wa tiba za kisasa,na jinsi ya kutumia kufikia kiwango cha tiba kusudiwa.
>>Kuna wimbi la vijana wetu kuwa na mwili na sura za kizee,na wazee wetu...
Baada ya Mdau kuandika hoja kuhusu Viongozi wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) akidai wanakaa madarakani kwa muda mrefu bila ukomo wa wazi, hali inayopunguza uwakilishi na kuzuia mawazo...
BAWASIRI NI NINI?
Bawasiri ni Ugonjwa unaotokana na kuvimba/kupasuka kwa mishipa ya dawa sehemu ya haja kubwa na kupelekea kuota kwa kinyama/Uvimbe ambao ndio huitwa Bawasiri.
Sababu kubwa ya mtu...
Shinikizo la Damu ni nini?
Shinikizo la damu ni nguvu ambayo damu hutumia kusukumwa ndani ya mishipa ya damu. Linapokuwa juu kuliko kawaida kwa muda mrefu, linaweza kuharibu moyo, ubongo, figo...
Nashindwa kuelewa baada ya kusumbuliwa na tezi dume nikafanyiwa upasuaji mambo yakawa Safi.
Baada ya muda takribani mwaka imerudi tena nini chanzo au upasuaji ulifanywa kwa juu juu tu.
Msaada...
Ofcourse mimi sijaoa na wala sina mke, ila nimepata kusikia wanawake baada ya kujifungua watoto wao, hukaa siku 40 ambapo anakua anatokwa na nifasi (damu inayotoka baada ya kujifungua). Baada ya...
Nimetafakari sana kisha nikajiuliza, inakuwaje leo hii Teknolojia imekua sana kuliko hata miaka hiyo ulipogunduliwa UKIMWI lakini bado dawa ya kutibu kabisa UKIMWI haijapatikana?
Naomba mchango...
Chunusi na Vipele: Chanzo, Sababu, Dalili, Madhara na Jinsi ya Kutunza Ngozi
Chunusi na vipele ni matatizo ya ngozi yanayowapata watu wengi, kuanzia vijana hadi watu wazima. Mara nyingi huonekana...
Miezi kadhaa iliyopita nilikubwa na misukosuko mingi sana kimaisha na magonjwa mbalimbali makubwa kuninyemelea ikiwamo high blood presha.
Nikiwa kijana kabisa mwenye ndoto za maisha yangu...
Wanasayansi wanatumaini kuwa utafiti huu mpya utakuwa "mwanzo wa sayansi ya kisimi".
Hatimaye wamefanikiwa kuchora ramani ya neva za kisimi, miaka mingi baada ya ramani ya neva za uume kuchorwa...
Wakuu Nina omba msaada wa Tiba mbadala kwa anaye fahamu.
Natokwa na Damu puani . Ishu imeanza Ijumaa.
Ijumaa imetoka mara 1 asubuh.
Jumamos mara 2 asubuh na mchana
Jumapil mara 5. Asubuh saa 3 na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.