TIBA YA JINO
1.Ampiclox (Nunua hata za Buku)
2.Prednisolone/Predilone (Nunua hata za buku)
3.Dawa Tatu ( Nunua hata za buku)
4.Hydrogen Peroxide (Mouth Wash) - Hii huuzwa kuanzia Tsh 2500 - 4000
MATUMIZI
1.Kwanza kabla ya kumeza hizo dawa hapo hakikisha unasukutua hiyo dawa ya Hydrogen Peroxide (Iweke mdomoni walau dakika 15 huku ukiwa unasukutua kwa kuzungusha mdomoni,Baada ya hapo iteme usije ukaimeza,Ukishaitema chukua maji masafi sukutua tena hadi mdomo ubaki msafi)
2.Baada ya hilo zoezi la kwanza kufanyika,Anza kutumia hizo dawa nilizokuandkia hapo,Utameza kulingana na ushauri wa daktari
Hizi dawa hapo nimekuandikia ni kiboko ya Jino au meno yanayouma!,Hutuliza na kumaliza kabisa maumivu ndani ya muda mfupi na inabaki historia!