Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Kwa utafiti wa haraka haraka kama mpita njia nimegundua kuwa baadhi ya makabila kama Wamakonde,Wangoni,na Wazigua(Tanga line) ni makabila yanayopenda sex sana. Naomba wataalamu mnijulishe je kuna...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
HAYA SASA, TAARIFA JUU YA TIBA YA BABU NDIO KAMA IFUATAVYO. KWA WALE WASIOAMINI NA KWA WALE WANAOAMINI, TASK FORCE IMETHIBITISHA DAWA YA BABU HAINA MADHARA YANAYOJULIKANA KWA BINADAMU (KWA SASA)...
2 Reactions
62 Replies
11K Views
hellow wadau! Msaada kwa rafiki yangu pls,ana madoa doa maeneo ya kifuani hadi shingoni,kwakweli yamemuharibu sana ukizingatia yeye ni white,so amekua kama kenge! Kajaribu kutumia dawa kama...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
habar zenu waungwana? Napenda kufaham ni mazoez gani ambayo yanaweza kunifanya nikatoa kitambi nakutengeneza six packs kwa muda mfupi?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu, Sababu 10 zinazowafanya watu kujazana kwa Babu. 1.Huulizwi ugojwa 2.Hupimwi. 3.Hulazwi. 4.Huandikiwi doz 5.Hupigwi Xray 6.Hufungwi P.O.P 7.Huwekewi drip 8.Hupewi miwani 9.Huchomwi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tumekuwa tukiwashuhudia akina mama wakihangaika huku na huku wakitafuta njia mbalimbali za uzazi wa mpango au kufunga kizazi. Ni nadra kuwakuta akina baba wakijishughulisha na mambo hayo hata...
0 Reactions
89 Replies
8K Views
Nina mchumba wangu lakini cku za hivi karibuni akishamaliza siku zake bado anakuwa bado anatokwa na bleed kma vitone kwa mbali. Kama kuna mtu mwenye ufahamu nisaidieni! Ni sababu zipi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wanajamvini naomba msaada wenu kuna siku nilikuwa nachokonoa meno na stepple ikawa kipande cha stepple pin likavunjika nikaimeza imenikwama kooni napata maimivu makali sana nifanyeje ni wiki ya...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Waungwana naomba kujua wapi naweza kupata miwani ya macho kwa bei rahisi haswa hii ambayo haina frame-sijui inaitwaje najua kioo kinakuwa hakikuzungushiwa frame. Natanguliza shukurani. Kupimwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nikawa najiuliza. Itokee watu walio kwenye foleni waambiwe "Samahani wapendwa katika Kristu, Mchungaji Ambilikile leo hajisikii vizuri, pressure yake na sukari imepanda hivyo kapelekwa KCMC kwa...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Nina mtoto wa umri wa miezi minne, kila anaponyonya namlaza began kujaribu kutoa gesi, lakini pamoja na hayo yote ni mara chache sana kucheua bila kulia. Naomba msaada tatizo ni nini? Na nini tiba...
0 Reactions
1 Replies
9K Views
Naomba kuwapa pongezi na pole madaktari wa Tanzania haswa [Specialist] Tukianzia Dar es salaam, Muhimbili, Arusha, Kilimanjaro mpaka .....Daktari [Specialist wa wilaya kama wapo].Manake...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi karibuni kwa imani, Mungu anaonesha vipaji vya utambuzi na matumizi ya mimea, na kwa madai kuwa baadhi ya miti imekuwa tiba tosha kwa maradhi sugu yanayowasumbua watu kwa kitambo kirefu kama...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Fasting 'could lower your risk of heart disease and diabetes' The 30 volunteers fasted for 24 hours and only drank water. This encouraged the body to start burning up fat cells (posed) Fasting...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nawasalimu wanajf wote. Naanza kwa kuomba samahani kwa vile naelewa wazi kuwa thread hii si pure siasa. Nimekuwa nikifuatilia picha zinazopigwa huko Loliondo kwa babu, jambo lililonifanya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Neville Meena na Mussa Juma, Samunge ................ Kikombe cha babu Dawa yote wanayokunywa wagonjwa wanaofika katika Kijiji cha Samunge lazima ipitie katika mkono wa Mchungaji Mwasapila...
1 Reactions
97 Replies
9K Views
Wale wanaoamini tiba ya vikombe wamepata neema nyingine baada ya bibi mmoja kuibuka huko mbarali na kudai kaoteshwa na mungu atoe kikombe cha dawa ambayo inatokana na kuchemsha mizizi ya mbuyu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mganga maarufu wa tiba za asili maarufu kama Dr. Francis Mwandulame wa Iringa amemjia juu babu kwa kitendo chake cha kuwahadaa watanzania kwamba amepewa ufunuo toka kwa Mungu. Gwiji huyo wa...
0 Reactions
40 Replies
12K Views
NDOTO ISIOTAKIWA KABISA.... Kuwa hawa "mababu NA mabibi" waliooteshwa na Wanaooteshwa kila uchao "TIBA ZA MAGONJWA SUGU" IKO SIKU WATATOWEKA NA KUPOTELEA KUSIKOJULIKANA GHAFLA!!! Kama...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wana Jf kuna wimbi la viongozi wa chama cha mapinduzi na serikali yake kwenda Loliondo kwa babu kupata matibabu, sisi kama wananchi tuna wajibu wa kujua ni kipi kinawasumbua viongozi wetu , kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom