Nawezaji kujua kama mtoto ni mrefu au mfupi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nawezaji kujua kama mtoto ni mrefu au mfupi

Discussion in 'JF Doctor' started by Kichwa Ngumu, Apr 18, 2011.

 1. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Wana JF najisikia raha kuwepo kwa JF imenisaidia mambo mengi sana na uhakika hata kwenye hili nitapata suluhu yake.
  kunauwezekano wa kujua kama mtoto wa miezi mitatu ni mrefu au mfupi?
  karibuni kwa michango
   
 2. The Mockingjay

  The Mockingjay JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Angalia vidole vyake, kama ni virefu au stuby.
   
 3. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,131
  Likes Received: 3,320
  Trophy Points: 280
  Ha ha!! Uwezi kutambua..subiri akue ndo utajua.
   
 4. Outlier

  Outlier JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2011
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Swali Lako liko tata kidogo; wataka kujua Kama ni mrefu AMA mfupi kwa wakati huu akiwa na miezi mitatu AMA Kama atakuwa mrefu AMA mfupi hapo baadaye akiwa mtu mzima?
  Kama ni kwa wakati huu; tumia chart za ukuaji wa watoto, chart hizi zinapatikana kwenye card za watoto za clinic ambazo zinaonyesha katika kila umri mtoto atakuwa kuwa na urefu na uzito kiasi gani!
  Kama ni kwa baadaye ni vigumu AMA haiwezekani kujua kwa Sababu urefu wakati wa utu uzima inakuwaje affected na mambo mengi; generally though Kama wazazi ni warefu mtoto possibly atakuwa mrefu (genetically determined) lakini kuna environmental factors wakati wa ukuaji Kama lishe, maradhi nk vinaweza kumfanya mtu ambaye alikuwa awe mrefu genetically akaishia kuwa mfupi.
   
 5. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Nimekusoma lakini ile ya clinic inauzito tu haina urefu
   
 6. Outlier

  Outlier JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2011
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
 7. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #7
  Apr 20, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Una haraka!
   
 8. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #8
  Apr 20, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Haaa haaa haaaaaaaa haaaaaaaa
   
 9. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #9
  Apr 20, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
 10. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #10
  Apr 20, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
 11. Outlier

  Outlier JF-Expert Member

  #11
  Apr 21, 2011
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
 12. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #12
  Apr 21, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Understood
   
Loading...