Mwanaume kuwashwa mwilini baada ya kujamiina kunatokana na nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanaume kuwashwa mwilini baada ya kujamiina kunatokana na nini?

Discussion in 'JF Doctor' started by Enols, Apr 18, 2011.

 1. E

  Enols New Member

  #1
  Apr 18, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habar zenu wana JF. kumekuwa kuna tatizo linalomkabili rafik yangu.kwamba kila anapokutana kimwili na mpenz wake amekuwa akiwashwa sana sehem za mgongo na kifuan. hivyo amekuwa akipata michubuko inayomletea maumivu nyakati za kuoga. nimshauri afanyaje ili aendelee kulifaidi tendo hilo na mpenz wake? natanguliza shukran za dhat kwenu..
   
 2. Outlier

  Outlier JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2011
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sioni tatizo la kitaalam linaloweza kusababisha Hali hiyo.
  Kwanza ana uhAkika Sababu ni hiyo?
  Kwa haraka mshauri ajaribu Mitindo mingine ya kutiana - kwa mfano Kama anahisi Sababu ni kugusana ngozi kwa ngozi; mwambie apunguze contacts wakati wa mapenzi- doggystyle AMA styles zingine ambazo contact inakuwa ni genitals tu!
  Lakini ni vizuri akie da hospital aweza kuwa na tatizo ambalo halihusiani na kujamiiana na mpenzi wake.
   
 3. W

  Wandugu Masanja JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 1,535
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  kunatokana na kwenda chumvini, usiende kabisa kama huamini jaribu kuwacha

  usiseme rafiki yako sema wewe mwenyewe unapenda kuenda zamia chini  huyo tatizo lake anakwenda chumvini mwambie awache mara moja kuzamia, marazi yataondoka asiwe na wasiwasi,
   
 4. Rodcones

  Rodcones JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2011
  Joined: Oct 16, 2007
  Messages: 403
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  kuna sababu nyingine zaweza kuwa za kitaalamu zaidi
  mi nashauri akamuone mtaalamu wa magonjwa ya ngozi
  yawekana ni viji allergy vya may girlfriend wake.

  so nenda hospital
   
 5. e

  emrema JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 270
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Najua wewe ndo una tatizo hilo kwa nini umtumie rafiki yako kuwa mkweli, Muone Dr. Ndodi.
   
 6. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Amwone Ndodi ili atapeliwe! Kweli wajinga ndiyo waliwao.
   
 7. Mgombezi

  Mgombezi JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 630
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hebu tujaribu kuheshimu kazi za watanzania wenzetu, si vyema kumwita huyu ndugu ni tapeli hata kama huamini anachotenda. Je wewe hiyo kazi yako siyo ya kitapeli?. Si rahisi kama wewe unavyofikiria, anzisha yako ya kitapeli..!
   
Loading...