Hospitali ya IMTU, chafu, Huduma mbovu sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hospitali ya IMTU, chafu, Huduma mbovu sana

Discussion in 'JF Doctor' started by mama yuva, Mar 15, 2011.

 1. mama yuva

  mama yuva JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2011
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Tafadhali kama kuna mtu yeyote anayeijua au anafanya kazi Hospitali ya IMTU, Mbezi. Jamani Hospitali yenu vyoo vichafu, mtoto anatapika mama anaambiwa azoe matapishi mwenyewe, tena kwa ndoo chafu sana ya chooni, amabko ni kuchafu hakutazamiki, halafu mama huyu anapolalamika huduma mbovu, nurse anasema, "au nikupe simu ya bosi wangu umpigie", Ina maana hawa mabosi wa hii hospitali wanakubali hayo ambayo wafanyakazi wao wanayafanya?


  Kwa kweli inabidi wajirekebishe vinginevyo watakuwa ni chanzo cha watu kupata magonjwa zaidi na si tiba.
   
 2. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,276
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Tatizo la kuajiri wana familia. IMTU ndo kitu gani first time I hear about this hospital.
   
 3. z

  zamlock JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  mimi mke wangu alikuwa ni mjamzito hv karibuni tukaenda pale kwa huduma ya clinic nakuambia file lilichukua zaidi ya nusu saa kulitafuta mpaka nikachoka nilichokifanya nilifoka sana ndipo wakakimbia kutafuta file ndani ya dakika tano nikawa nimepewa na kuwaacha niliowakuta yakwao ayajapatikana ni wa ovyo sana ingawa wana ma doctor wazuri wahindi hasa doctor wa akina mama mzuri sana nilimpenda kwa uangalizi wake sema kuna vijimambo vidogo vidogo tu ambavyo wanapaswa kuvirekebisha
   
Loading...