Msaada: clinic ya akina mama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: clinic ya akina mama

Discussion in 'JF Doctor' started by Annina, Mar 24, 2011.

 1. Annina

  Annina JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2011
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 437
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Habari wapendwa, naomba msaada wa kupatiwa taarifa za clinic na massage centre nzurikwa ajili ya akina mama wajawazito iliyopo Dar es salaam. Nimewahi kusikia juu Primier clinic naomba wanaofahamu hapo vizuri au mahali pengine wanishauri. Asante
   
 2. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hongera Annina, nadhani wadau watakuja soon kukupa Taarifa Muhimu, ila Nasikia Pale Tumaini Hospital kuna Daktari akina Mama huwa wanamsifia sana anaitwa Dokta Kapona, vile vile Agha kan kuna Dakatri anaitwa Shaofiq nasikia naye ni Mzuri
   
 3. Annina

  Annina JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2011
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 437
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Asante sana Albedo, nasubiri kusikia toka kwa wadau na nitaangalia pia hao wa Agha Khan na Tumaini. Shukran
   
 4. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Njia ya mbezi beach ya chini kwenye daraja la mwisho kama unaenda africana ipo pale ni bomba balaa, pia Masaki spur ila kule ni gharama ujiandae
   
 5. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #5
  Apr 17, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,276
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Dr mzuri wa akina mama ni Ana purna Regency Hospita. She is also a Woman.
   
Loading...