Ni tatizo gani ki sayansi???

B'REAL

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
4,279
2,733
ndugu wapendwa...kuna jambo limenichanganya,kunaa kaugonjwaa flani kamezukaa sana cha watoto kuanguka anguka ovyo mashuleni,kama jana wanafunzi huko songea wa shule ya msingi walishikwa na huo ugonjwa na mara nyingi sana umekuwa ukiwa kumbaa watoto wa kike?nakumbuka miaka flani nyuma ungonjwa kama huo ulitokea ashira girls wanafunzi walipata ugonjwaa wa kuchekacheka ovyo na kuanguka.swali je huu ni ugonjwa gani?
 
Hahahaha mi wakati nasoma shuleni kwetu ilitokea!Walikua wanazimia na vituko vya kila aina juu!Inawezekana ni tatizo la kiroho zaidi...sina uhakika maana wakwetu waliombewa sana wengine wakapelekwa kwa waganga!Baadae ikaja kuisha tu...sijui nini haswa kilichosaidia!
 
ndugu wapendwa...kuna jambo limenichanganya,kunaa kaugonjwaa flani kamezukaa sana cha watoto kuanguka anguka ovyo mashuleni,kama jana wanafunzi huko songea wa shule ya msingi walishikwa na huo ugonjwa na mara nyingi sana umekuwa ukiwa kumbaa watoto wa kike?nakumbuka miaka flani nyuma ungonjwa kama huo ulitokea ashira girls wanafunzi walipata ugonjwaa wa kuchekacheka ovyo na kuanguka.swali je huu ni ugonjwa gani?

waweza kuwa ni ushirikina.....why iwe kwa wasichana pekee?????
 
Hii ni moja kati ya matatizo mengi ya kisaikolojia inaitwa Female Hysteria na ipo katika kundi la psychological disorders inayoitwa somatoform. tatizo linaweza sababishwa na Sexual deprivation, frustration, au mental deficiencies. kwa maelezo zaidi tafuta kwa google Female Hysteria au tafuta msaada psychologicalsupport@hotmail.com
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom