Naomba Ushauri

Mabulangati

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
796
164
Siku mbili zilizopita niliamka nikajisikia maumivu wakati wa kukaa nilipojichunguza nikagundua kuwa nina uvimbe mdogo kwenye anus upande numevimba kama jipu ila nilipobinya halikupasuka maumivu nikazidisha. Nilidhani rectum imetoka nnje lakini nikagundua kuwa palipovimba pameshikana kabisa na ngozi ya nje. Wanajamii mlio na utaalamu wa utabibu naomba mnipe ushauri yakinifu.
 
pole sana ndugu-ngoja wataalamu watakupa ushauri mbadala
 
Pole mkuu sijajua kama ni jipu hasa au la. kuna ugojwa fulani huwa unawapata baadhi ya watu wanaokaa sana kwenye viti hasa wasomi na kwa maelezo yako naona kama ndo wenyewe. Dawa yake huwa ni operation wanakikata hicho kudude. KUBWA na MUHIMU ni kwenda kuwaona madaktari hospitali!
 
Nenda hospital kwa Sababu viuvimbe Kama hivyo pembeni maw anus vipo vya aina nyingi, vingine vyapona kwa dawa, vingine kwa operation; utapata ushauri kikishaonwa na daktari
 
What causes hemorrhoids?

Too much pressure on the veins in the pelvic and rectal area causes hemorrhoids.
Normally, tissue inside the anus fills with blood to help control bowel movements. If you strain to move stool, the increased pressure causes the veins in this tissue to swell and stretch. This can cause hemorrhoids.
Diarrhea or constipation also may lead to straining and can increase pressure on veins in the anal canal.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom