Kwa kawaida mama anaanza hedhi muda gani baada ya kujifungua? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa kawaida mama anaanza hedhi muda gani baada ya kujifungua?

Discussion in 'JF Doctor' started by Ennie, Apr 17, 2011.

 1. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  .............
   
 2. Mom

  Mom JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kama unamnyonyesha mtoto ni normal kabisa kuna wengine hukaa hata zaidi ya mwaka. lakini usisahau kutumia kinga unaweza kuconceive pia
   
 3. Mom

  Mom JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kama unamnyonyesha mtoto ni kawaida kuna wanaokaa hata zaidi ya mwaka, lakini usisahau kutumia kinga kwani unaweza kuconceive.
   
 4. Mayasa

  Mayasa JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 587
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hadi uache kunyonyesha.
   
 5. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #5
  Apr 18, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Tumekupata,shukrani.........
   
 6. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145

  Ahsante mom na hapo kwenye kinga ndio penye tatizo maana huwa natumia calenda sasa inaniwia vigumu sana .
   
 7. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #7
  Apr 20, 2011
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  ni ngumu sana kutumia kalenda kwenye hiyo hali dear coz hujui cku wala saa....
   
 8. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #8
  Apr 20, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145

  Mwenzangu! Kama unatupa mawe kizani vile!
   
Loading...