Ushauri wana jamii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri wana jamii

Discussion in 'JF Doctor' started by Makaimati, Apr 19, 2011.

 1. Makaimati

  Makaimati JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 462
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimejaribu kuangalia humu ndani na nimeona kwamba kuna wanajamii wengi huelezea matatizo yao mbali mbali ya kiafya.

  Mara nyingi hjitokeza wachangiaji wakatoa majibu ya kukurupuka wakijua hawana utaalamu katika masuala ya tiba/afya au/na kufanya mzaha.

  Nawaomba wale wanajamii wakatafuta tiba kwa wataalamu wanaohusika kujiepusha na matatizo baadae.

  Naomba radhi kwa hili.
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Peleka hii jukwaa la malalamiko.
   
Loading...