Upi ukwel ?

tizo1

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
856
145
Jaman madaktar naomba niulize.Mke wangu alikuwa hedhi tarehe 12-16.Tareh 16 hiyo hiyo nimefanya nae mapenzi.JE ANAWEZA KUPATA MIMBA?Natanguliza shukrani kwa madaktar wa JF
 
Mh! Sa ukafanyaje wkt alkuwa na hedhi??? Hawezi kupata mimba, ucwe na wac.
Jaman madaktar naomba niulize.Mke wangu alikuwa hedhi tarehe 12-16.Tareh 16 hiyo hiyo nimefanya nae mapenzi.JE ANAWEZA KUPATA MIMBA?Natanguliza shukrani kwa madaktar wa JF
 
uwezekano wa ujauzito ni mdogo sana (miraculously inawezekana), uwezekano wa kupata ukimwi upo tena mkubwa, unaombwa ukapime.
 
Atapimaje wkt alye do nae ni mai wife wake??? Mke na mume c wanaaminiana?? Acha kumtsha mwenzio, by the way inaonekana anaogpa mimba kulko ukimwi!

dah! kumbe ni waifu wake? basi huku kwangu inasomeka galifriend. khaaaa PC za mchina bana. sorry mleta mada usipime lolote bana waskuzingue, JF wazushi tu.
 
Hawezi kupata mimba kama ana mzunguko wa kawaida,upo uwezekano kidogo kama huwa ana double circulation.
 
khaaa wewe umekula na damu yake,yakheeeee hunifai kua mkwe,inamana ikija ikaumwa tena hamu ikakujia utaomba siko,watu wa namna yenu hamukawi kupanda kitanda na viatu.
 
hapana bwana alikuwa kamaliza.
 
Haya mambo ya mimba na mzunguko wa hedhi unawasumbua wengi wa Watanzania.

Hii ni needs assessment tosha kufanya somo la baiolojia kuwa lazima kwa wanafunzi wote wa sekondari. Sio kwa ajili ya kuelewa mfumo wa uzazi pekee, bali kuelewa jinsi miili yetu inayofanya kazi, kuelewa athari zinapojitokeza n.k
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom