Harufu kali wakati wa kujamiiana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Harufu kali wakati wa kujamiiana

Discussion in 'JF Doctor' started by MKANDAHARI, Apr 8, 2011.

 1. MKANDAHARI

  MKANDAHARI JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 1,017
  Likes Received: 698
  Trophy Points: 280
  Nina mpenzi wangu na kweli nampenda sana! Ila huwa nakosa raha na hata hamu wakati wa kujamiiana! Yaani anakuw anatoa harufu kali sana uken wakati wa lile tendo! Kiukwel huyu mpenzi wangu ni msafi na huwa anajijali na isingekuwa hvyo ningesema ni uchafu lakini sio! Ni ki2 gani kinachofanya mpaka sehem hzo zitoe harufu kiivyo? Naombeni msaada wadau ili nilinusuru penzi le2 coz kma tatizo litaendelea kuwa vile kuna uwezekano nikatupa kule!...
   
 2. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  nakushauli mkamuone daktari wa magonjwa ya wamama,atapona tu!!!
   
 3. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #3
  Apr 8, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  tupa kuuule
   
 4. NGUZO

  NGUZO JF-Expert Member

  #4
  Apr 9, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 253
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  isije ikawa ana matatizo ya maradhi ya zinaa, nendeni mkamuone Dakrari mpate kipimo kinaitwa VDRL pengine utapata ufumbuzi kaka.
   
 5. Kichwa cha panz

  Kichwa cha panz Senior Member

  #5
  Apr 9, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 132
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kamuone Gynocologist atakusaidia hilo tatizo linakwisha na lina dawa, utaendelea kuenjoy jirani, kutupa sio suluhu, unaweza kutupa wa harufu ukampata kicheche balaa..
   
 6. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #6
  Apr 9, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Pole sana, mkuu na mimi tatizo kama hilo lilinikumba, ila mimi niliamua kuchukua njia sio nzuri sana ay kumwaga ingawa yeye mpaka leo bado hajui kwanini nilimwaga kwani sikumwambia!!!
   
 7. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #7
  Apr 9, 2011
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kama unampenda kweli mweleze ajue labda yeye anadhani ni wewe unachomwaga kwake, ili apate msaada inaweza kuwa ni infection as wanawake pia wanapata damu kila mwezi labda madonge yanabaki humo ndani au? Ila pia mwambie akiwa anajisafisha apanue miguu na kudumbukiza vidole kusafisha labda itasaidia pia kuna sabuni za kusafishia huko. Au anywe antibiotics Au wow inaweza ikawa ambacho sijasema hapa.
   
 8. Elba

  Elba JF-Expert Member

  #8
  Apr 9, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 383
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Muulize ka ashawahi ku-abot, inawezekana aliflash afu hakusafishwa vizuri. kikubwa mpeleke kwa Dr.
   
 9. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #9
  Apr 9, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  anaweza kuwa msafi wa housing tu...utumbo haupigi mswaki vema
   
 10. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #10
  Apr 9, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Atakuwa hasafishi vizuri uke
  Au atakuwa na magonjwa nyemelezi mwambie aende akapime mkojo.
   
 11. kanyasu

  kanyasu JF-Expert Member

  #11
  Apr 9, 2011
  Joined: Feb 9, 2009
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole sana kamanda,unatakiwa ufanye mambo yafuatayo kabla hamjaanza kujamiiana.
  1.kila mnapotaka kukutana kwa round ya kwanza hakikisha unaoga naye,unampeleka bafuni unamsafisha wewe kwa kidole chako na sabuni.
  2.huyo atakuwa na fungus ukeni ambazo zinasababishwa na uke kutoa aina fulani ya maji maji ambayo yanasababisha uvundo mala kwa mala,mtafutie clotrimazole pess na umpe fluconazole tabs kidonge 1 kila wiki kwa miezi 3.
  3.mshauri kila anapovua nguo zake za ndani aziloweke kwenye dettol au any antiseptic.
   
 12. Quinty

  Quinty JF-Expert Member

  #12
  Apr 9, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 463
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Muone dokta na ww uache kujamiiana na mpenzi wako mfanye mapenzi....kujamiana ndo nini lugha ya wanyama hiyo
   
 13. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #13
  Apr 9, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  ushaur gn huu? Dawa ya tatzo co kulikimbia ni kulikabili.
   
 14. e

  emrema JF-Expert Member

  #14
  Apr 9, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 270
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyo aishawai kuabot wangu alikuwa hivyo pia na nikampeleka kwa watalaamu Muhimbili wakatatua sasa nalamba mpaka chumvini. Ila atakapokwambia kuwa aliabot usimwage manake itakushtua kidogo. Inabidi apigwe bomba kusafisha mazingira ya ndani na kupewa antibiotics za kutumia kama 7 days. Wakati huo inabidi uvumulie kula tunda. Tchao.
   
 15. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #15
  Apr 9, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Kweli umekereka ndugu. Hata mi kuna wakati nilishakumbana nayo. Hii harufu inafanana na chakula cha mifugo kilichovunda kama pumba. Ni kali sana! Wanawake wengi hawanywi maji ya kutosha. Afanye hivyo kwanza
   
 16. Kibirizi

  Kibirizi JF-Expert Member

  #16
  Apr 9, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Pole sana ndugu, kwanza kabisa napenda ufahamu kwamba hawa dada zetu huwa wanashambuliwa na maradhi kuliko sisi wanaume, hiyo ni hali ya kawaida ni maradhi yao kinamama, hiyo inaweza kuwa Urine infection(UTI) au fungus ndani ya uke au fistura( kuwepo kwa tundu kati uke na haja kubwa) lakini kitu cha msingi ni kufanya usafi wa kutosha kila anapojisaidia iwe haja ndogo au kubwa, kabla hajaanza kazi asubuhi aonge kwanza, vile vile nguo zake za ndani asipende kuanika ndani ya nyumba au sehemu ambazo hazitakauka vizuri lakini ni vyema kama awe anazianika nje ili zikauke vizuri na vijijidudu kufa vizuri. Nenda kwa daktari bigwa wa magonjwa ya kina mama upate vipimo, naamini hilo ni tatizo dogo sana, kwani kuna dada mmoja alikuwa naye hivyo hivyo alienda nhospital akatibiwa kwa dawa ya TZS. 1,500/= alipewa vidoge na dawa ya maji ya kusukutua ukeni, tatizo liliisha kabisa.
  Jambo jingine la kumdadisi ni kama anasikia maumivu yeyote wakati wa kusex, je kama alishawahi kutoa mimba, je kuna wakati anahishi au anaona uchafu ukitoka ukeni akiwa katika shughuli zake za kawaida, au ni kondom ndio zinamletea hayo matizo. ukileta majibu ya maswali yote hayo tunaweza kufahamu zaidi. wakati huo wote upofanya udadisi uonyeshe nia ya dhati ya kumsaidia, na pengine inabidi ufanye wewe arrangement kuonana na daktari na siku ya kwenda uende naye na si vinginevyo.
   
 17. nnunu

  nnunu JF-Expert Member

  #17
  Apr 9, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 656
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Pole sana, mpeleke hosp dr. Atajua tatizo lake.
  Unaweza kuwa unamwona ni safi ksb anajua kujipamba vizuri kumbe hajui kujisafisha vizuri maumbile yake, na hasa uke wake,pamoja na mfereji wa matakoni ,wanawake wengi (siyo wote) hawajui kujisafisha maumbile yao,japo kwa nje wamejipamba na kuvutia.
  Utakapompeleka hosp watajua tatizo lake, lakin pia ajitahidi kusafisha maumbile yake.
  unayempenda anapokuwa ana tatizo hatumtupi kule bali tunamtafutia ufumbuzi wa tatizo lake.
  Poleni sana.
   
 18. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #18
  Apr 9, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Pole MKANDAHARI....Nina hakika mpenzi wako atakuwa na ugonjwa unaitwa 'Bacterial Vaginosis (BV)'. Ni ugonjwa ambao unawatokea wanawake weengi tu na nadhani umeshasabisha wanawake weengi kukimbiwa sababu ya hiyo harufu na kuonekana wachafu, au wanawake weengi tu walio na ugonjwa huo kukataa wanaume kwa kuogopa kudhalilika kuotkana na hiyo harufu. Ni ugonjwa ambao umeshasababisha matatizo meengi tu ya kisaikolojia kwa wanawake kutokana na unyanyapaa.

  Lakini wala usitie shaka ndugu yangu, ugonjwa huo unatibika tena kirahisi ajabu nawe uendelee kufaidi 'tunda' lako hata ukitaka kulikoleza kwa 'chumvi'!

  Kinachotokea ni kwamba...ukeni kuna bacteria wa aina nyingi tu ambao ni wakazi wa huko na mara nyingi hawana madhara, lakini yanapotokea mabadiliko ya kichumvi ukeni, basi wanazaliana kwa wingi na kusababisha BV (hali hii ni sawa sawa kama fungus aina ya candida wanavyoongezeka ukeni kusababisha candidiasis, lakini candida hawatoi harufu). Hii inasababisha muwasho ndani ya uke na kusababisha kutoa maji maji ya kawaida tu ya uke (kama yale ya wakati wa kujamiiana) lakini yakitoa harufu kali, haswa wakati na baada ya kujamiiana!

  Nimeona watu wengi wamekushauri umwambie mpenzio awe anaosha sana uke....lakini ukweli ni kuwa, kuosha sana ndio kunafanya tatizo liwe kubwa zaidi, especially kama anaingiza maji ukeni yakiwa na sabuni (medicated or not) au dis-infectant mfano Dettol. Hizi huharibu zaidi balance ya kichumvi ndani ya uke, na hivyo kuwafanya bacteria hao kuzaliana zaidi na kufanya tatizo liwe worse. Aoshe na maji tu ya vugu vugu yasiyo na kitu chochote.

  BV inatibika kwa kutumia antibiotics, mara nyingi za cream za kuweka uko ukeni. Dawa hizi ni Metronidazole (Flagyl) vaginal cream, au Clindamycin vaginal cream...vile vile dawa ya kumeza (vidonge) inaitwa Tinidazole.

  Ushauri: Unaweza kwenda kumuona daktari wa magonjwa ya wanawake (Gynocologist) kwa ushauri zaidi. Tafadhali usifanye naye tendo la ndoa wakati anapata matibabu, angalau kwa wiki moja. Mwanaume anapofanya tendo la ndoa na mwanamke mwenye BV anapata hao bacteria, japo yeye hapati dalili..lakini atakuwa anaueneza huo ugonjwa kwa wanawake wengine, na hivyo hivyo kwa mwanamke. Kwa hiyo ni muhimu na wewe ukatibiwa kwa dozi nzima ya Tinidazole. Na tafadhali ASIJIINGIZE VIDOLE AKIJIOSHA NA MAJI YALIYO NA SABUNI AU DETTOL.
   
 19. MKANDAHARI

  MKANDAHARI JF-Expert Member

  #19
  Apr 9, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 1,017
  Likes Received: 698
  Trophy Points: 280
  Riwa pamoja na wadau woote mlionipa ushauri kwa njia moja au nyingine mawashukuruni nyote! Kazi imebaki kwangu nitekeleze yale yote mlionishauri! Nayaheshimu mawazo yenu Wakubwa!....
   
 20. p

  pihu Senior Member

  #20
  Apr 9, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  unayemependa humtupi ila mnatatua matatizo pamoja..ehhhhhhhhh jamani ingekuwa vice versa ungehisi vipi?!!!
   
Loading...