Tatizo la kusinzia muda wa masomo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo la kusinzia muda wa masomo

Discussion in 'JF Doctor' started by Vijisenti, Apr 17, 2011.

 1. Vijisenti

  Vijisenti JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 474
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Heshima kwenu wanajamvi, nimekuwa na tatizo la kusinzia muda wa masomo hasa yale ambayo si ya Practical, naombeni msaada kama kuna dawa ya kufukuza usingizi maana nimejaribu kahawa lakini kama inapunguza basi kidogo sana.
   
 2. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Kunywa maji, na uepuke kukaa sehemu yenye joto, inapowezekana vua viatu. Alafu hujitahid kunote kila kinachozungumzwa, kuuliza pamoja na kujibu maswali, cdhan kama utasinzia tena
   
 3. Mayasa

  Mayasa JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 587
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Jaribu pia kukakaa viti vya mbele darasani ili uwe karibu na mwalimu.
   
 4. L

  Leornado JF-Expert Member

  #4
  Apr 17, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Usishibe saana ukiwa kwenye kipindi manake shibe inachangia sana kulegea legea na kusinzia na concentration inapungua.

  Panga ratiba yako vizuri uwe unakula either lisaa kabla ya kipindi au baada ya hapo, sio unashindilia ugali au supu afu unaingia class, hapo lazima ulale. Kumbuka shibe ni mwana malevya.
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Apr 18, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Pata usingizi wa kutosha.
  Hakikisha hujashiba sana au huna njaa unapokuwa kwenye kipindi. Unaweza kuwa na chupa yako ukawa unakunywa funda la maji kila unapohisi kusinzia nayo inasaidia.
  Kama wadau walivyosema hapo chini, usipende kukaa siti za nyuma ukiwa mbele concetration ni kubwa zaidi. Andika summary na usiwaze chochote nje ya darasa.
   
 6. Visenti

  Visenti JF-Expert Member

  #6
  Apr 18, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 1,031
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 133
 7. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #7
  Apr 18, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Jamani wakati fulani ni uvivu au kukosa interest ya kitu kinachozungumzwa. Wengine huweza hata kuwaza mambo mengine.
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Apr 18, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,267
  Likes Received: 19,407
  Trophy Points: 280
  acha kusoma sana , inaelekea ww una kremu saNA
   
 9. E

  Enols New Member

  #9
  Apr 18, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  punguza kutoboa.. pata muda wa kutosha kulala nyakat za ucku ili kurefresh ubongo.. shule co ngumu kiivo.
   
Loading...