Jeshi la Polisi lasema kuwa shambulio la Dortmund walikuwa la kigaidi

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Polisi nchini Ujerumani imesema kuwa gari lililokuwa limewabeba wachezaji wa Borussia Dortmund kuelekea katika mchezo wa nyumbani kwenye ligi ya mabingwa Ulaya lililengwa na milipuko mitatu.

Katika mkutano na waandishi wa habari, wamesema kuwa barua ilikutwa pembezoni mwa eneo la shambulizi hilo,lakini haikuwa na maelezo ya kutosha.

Polisi imekana kuwa ni shambulizi la kigaidi.

Mchezaji mmoja wa Dortmund na raia wa Uhispania Marc Bartra amejeruhiwa na kufanyiwa upasuaji.

_95591297_7a491134-4752-46e6-9c06-b869b5adb23a.jpg

Mlinzi Marc Bartra amejeruhiwa katika shambulizi hilo
Taarifa za kiintelijensia zinasema kuwa zinachunguza shambulizi hilo kama linahusika na mashabiki wa timu ya upinzani.

Mchezo kati ya Dortmund na Monaco umeahirishwa mpaka Jumatano.
 
Huyo mshambuliaji mzembe sana angesubiri wako uwanjani akawalipue humo humo na wenyewe waonje machungu vihere here hawa wa kuharibu nchi za wenzao
 
Back
Top Bottom