RUSSIA na IRAN wasema Watajibu kama US wakivuka Mstari mwekundu kwa Mara nyingine

Ninarafiki kutoka nchi za Scandinavia niliwahi muuliza uwezo wa kijeshi ulaya magharibi kwa ujumla ule wa majeshi ya Russia akanambia kwa Sasa nchi za western Europe hawana uwezo wa kijeshi wa kumkoromea mrusi mpaka marekani aweke mkono wake na akanambia hata leo hii ikitokea vita kati ya urusi na ulaya magh. kwa umoja wao labda wasaidiwe ila wakibaki wao hiyo vita itadumu hata miaka arobaini na mwisho ulaya magh. wataomba po na pia akanidokeza kuwa hakuna taifa lenye ubavu wa kumvamia mrusi kijeshi kwa sasa, akaongeza kuwa waweza pata takwimu za silaha za kivita zilizopo ktk taifa lolote duniani isipokuwa urusi kwan wao hawana tabia ya kutangaza uwezo wao. Maneno haya yakanikumbusha ww2 ambapo mjeruman alipojiamini kupitiliza aliamua kumvamia mrusi kilichompata wanahistoria wanajua, kwamba mrusi alikuwa nz vifaru
 
Ninarafiki kutoka nchi za Scandinavia niliwahi muuliza uwezo wa kijeshi ulaya magharibi kwa ujumla ule wa majeshi ya Russia akanambia kwa Sasa nchi za western Europe hawana uwezo wa kijeshi wa kumkoromea mrusi mpaka marekani aweke mkono wake na akanambia hata leo hii ikitokea vita kati ya urusi na ulaya magh. kwa umoja wao labda wasaidiwe ila wakibaki wao hiyo vita itadumu hata miaka arobaini na mwisho ulaya magh. wataomba po na pia akanidokeza kuwa hakuna taifa lenye ubavu wa kumvamia mrusi kijeshi kwa sasa, akaongeza kuwa waweza pata takwimu za silaha za kivita zilizopo ktk taifa lolote duniani isipokuwa urusi kwan wao hawana tabia ya kutangaza uwezo wao. Maneno haya yakanikumbusha ww2 ambapo mjeruman alipojiamini kupitiliza aliamua kumvamia mrusi kilichompata wanahistoria wanajua, kwamba kitu ambacho mjeruman na dunia haikujua ni kwamba mrusi alikuwa na vifaru aina ya T-34 zaidi ya 22000 ambavyo ni vingi kuliko vyote ktk nchi zote duniani na pia vilikuwa ni mara nne ya vile vya mjeruman mwisho wa siku mjerumani akashindwa na ndipo urusi iliendelea kuonyesha uwezo wake wa kijeshi. Criticism allowed
 
Ninarafiki kutoka nchi za Scandinavia niliwahi muuliza uwezo wa kijeshi ulaya magharibi kwa ujumla ule wa majeshi ya Russia akanambia kwa Sasa nchi za western Europe hawana uwezo wa kijeshi wa kumkoromea mrusi mpaka marekani aweke mkono wake na akanambia hata leo hii ikitokea vita kati ya urusi na ulaya magh. kwa umoja wao labda wasaidiwe ila wakibaki wao hiyo vita itadumu hata miaka arobaini na mwisho ulaya magh. wataomba po na pia akanidokeza kuwa hakuna taifa lenye ubavu wa kumvamia mrusi kijeshi kwa sasa, akaongeza kuwa waweza pata takwimu za silaha za kivita zilizopo ktk taifa lolote duniani isipokuwa urusi kwan wao hawana tabia ya kutangaza uwezo wao. Maneno haya yakanikumbusha ww2 ambapo mjeruman alipojiamini kupitiliza aliamua kumvamia mrusi kilichompata wanahistoria wanajua, kwamba mrusi alikuwa nz vifaru
Calculation za vita naona huwa wanaangalia kwanza Balance of power. Kama mnalingana, anakuzidi au anakukaribia hakuna vita hapo labda uwe umeamua kulitoa muhanga taifa. Marekani hawawezi kupigana na Russia japo wako vizuri hadi wajihakikishie wameweka Kinga za masafa marefu kila eneo wanalohisi adui atawavamia na wameassess uwezo wa russia na gharama za vita. Maana vita vitaanzia kwenye CYBER, Angani,Ardhini,Majini kila kona.
Hao EU hawana kitu kabisa kwa Urusi hata mimi nakubaliana na jamaa yako ndio maana huwa wanamtanguliza US kama Ngao.
 
hahahaa mkiwara mingi ila hawako tayari kwa gharama ya huo mtanange.
mpaka wame rusha yale makombora ya tomhawk walikua wana jua kwamba nini kitatokea badala yake uyo mrus na iran wameishia kubwata bwata tuu hakuna hatua yoyote walio chukua!!

sasa iv mnasema tena avuke mstari mnataka auvuke mara ngapi na bado mtapigwa tuu mpaka mtie akili next kipigo ni kwa kipank wenu uyo...
 
Mkwara umepigwa masaa machache yaliyopita, ngoja tuone wataishia wapi
 
mpaka wame rusha yale makombora ya tomhawk walikua wana jua kwamba nini kitatokea badala yake uyo mrus na iran wameishia kubwata bwata tuu hakuna hatua yoyote walio chukua!!

sasa iv mnasema tena avuke mstari mnataka auvuke mara ngapi na bado mtapigwa tuu mpaka mtie akili next kipigo ni kwa kipank wenu uyo...
Ungejiuliza kwanza kwanini marekani waliwajulisha warussia kuhusu shambulizi hilo kabla ya kushambulia,huenda usingeandika ulichokiandika
 
Uzuri wa Trump yeye haongeagi sana. Ameshaonya Asaad asirudie kosa, wao wanazungumzia mambo ya kuvuka mstari. Rais wa Syria anaua watu wa Syria, anapigwa na kupewa onyo kali na rais wa US, leo watu wanashadadia matamko ya Russia na Iran ambayo US haiyasikilizi hata kidogo.
 
Back
Top Bottom