mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,722
Dunia inaendelea kufuatilia joto la ubabe mikwara na sintofahamu na harufu za vita.
Trump ametweet akijibu onyo lililotolewa na kiongozi wa North Korea kuwa "wanajitafutia Matatizo"
Wakorea Kaskazini wanasema wanafuatilia kwa karibu huku silaha zao za nuclear zikiangalia US
China imepeleka mpakani wanajeshi zaidi ya laki na nusu ili kuwahandle wakimbizi wa Korea Kaskazini ikitokea wameshambuliwa.
Wakorea Kaskazini wanasema watajibu kwa nguvu kubwa ya kivita na kwa silaha kali na wako tayari kwa vita muda wowote
Huku putin anasema anataarifa kwenye viunga vya Damascus US wamepanga kutengeneza tukio ili kupata Kigezo cha kushambulia tena tena japo hajatoa Chanzo, ila kusema wanauzoefu wa Iraq jinsi us walivyoidanganya dunia.
Wakati haya yakiendelea US chini ya Trump inatekeleza mipango yake Bila hofu...
Chanzo :Donald Trump says 'North Korea is looking for trouble' | Daily Mail Online