Dah, nadhani wote waliomchagua Trump wakidhani ataachana na hii vita watakua disappointed sanaEh! Mungu inusuru dunia yetu na hili janga kubwa.
Wacha kuota ndoto kijana bado mchana.Long live Israel. Bwana Mungu wa Yakobo akiwa upande wako, nani wa kushindana nawe? Na ameapa hatokuacha kamwe sawa sawa na Neno lake. Mwisho unajulikana kabla ya mwanz haujawepo.. Bwana jina lako libarikiwe. Amen.
Dah, nadhani wote waliomchagua Trump wakidhani ataachana na hii vita watakua disappointed sana