kwamtazamo wangu haya mambo ya kutishiana kati ya marekan na korea ya kaskazini yataitumbukiza dunia katika vita vya tatu kama ni mfuatiliaji vita vya kwanza na vya pili ilikua ktu kidogo tu kikazaa vita vilivyogharimu mamilioni ya watu duniani kote.kwanza korea ya kaskazini hawapo peke yao bali ina washirika wake akiwemo Urusi,cuba n.k vilevile marekani hayuko peke yake bali na washrika wake akiwemo uingereza,germany,ufaransa,japani,korea ya kusin n.k kwahyo mmoja akianzisha tu wanaanza kusapotiana mwishowe vta vikubwa.Lakin kam ikitokea hv marekani kajiandaa vyakutosha coz anazo antmissile zakulinda miji yote muhimu kwamfano new york,Washington, calfonia n.k ukiachilia mbali base zake zilizopo Asia lakini pia baadhi ya silaha ambazo ndo zinafanyiwa majaribio sasa hvi korea marekani alishazfanyia miaka ya 1950's sasa sishauri sana korea kaskazini kumchokoza Trump kwani kitakachompata hatajua chakufanya na pia infact tuache ushabiki Urusi hawezi kumpga mmarekani kutokana na aina ya silaha zake.ni mtazamo tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.