Yani hapo umenena kama peleNi vyepesi sana US kurusha makombora Syria kuliko kurusha mshale North Korea kwani endapo akifanya hvyo eneo zima la Pacific biashara zake zinakufa kifo cha mende
Irudie tena kuisoma.Afterthought : Naona hata comment ya kwanza tu inamkejeli kwamba better bibi Clinton
Hata Syria itakuwa ni shida maana Putin hata kubali kupoteza maslahi yake ya Syria
Sasa nae aliypeleka mtambo apo air base ukafanye nini wakati waasi wanatumia Ak47 tu Kila kona ya dunia watu wanatafuta kiki siku izi.
Soma vzuriAfterthought : Naona hata comment ya kwanza tu inamkejeli kwamba better bibi Clinton
Uko tandale umelala unasema Putin anatafuta kiki..makombora yaliyorushwa Na marekana juzi yalirushwa kwa AK!??Sasa nae aliypeleka mtambo apo air base ukafanye nini wakati waasi wanatumia Ak47 tu Kila kona ya dunia watu wanatafuta kiki siku izi.
Afu mi nshachoka nao hawa jamaa (usa, china, north korea) hebu waamue moja, wameweza kuondosha viongozi wengi afrika na asia ya kati, huyu kipanki hawajamsukia skendo tu kama walivofanya kwemye nchi nyengine?
Hahahaha wanao wale nyuki ndio maana wale us wanambwelaHehehe huyu mdingi level nyingine.
Jong Eun asipo kaa sawa anaweza angushwa, marekani wabaya sana, jamaa unakuta wana simulation zote washai-study north korea vizuri wakiamua ni ku-execute plan tu. Kauogauoga kaliopo sasa hivi ni kama jamaa ana nuclear maana ile kitu hata wakiideflect ikatua north hapohapo bado UN itawalaumu maana watu zaidi ya laki lazima waangushe, Jong Eun naye ni kichaa kapewa rungu, ndugu yake yesu kabisa yule jamaa.
Siku north ingesema iamue iingie kwenye democracy, dunia nzima itafanya sherehe, south kila mwaka wanaomba waungane ila north hiyo dalili hakuna hata kidogo.
Acha zarau kijana kipanki nani sasaSasa nae aliypeleka mtambo apo air base ukafanye nini wakati waasi wanatumia Ak47 tu Kila kona ya dunia watu wanatafuta kiki siku izi.
Afu mi nshachoka nao hawa jamaa (usa, china, north korea) hebu waamue moja, wameweza kuondosha viongozi wengi afrika na asia ya kati, huyu kipanki hawajamsukia skendo tu kama walivofanya kwemye nchi nyengine?
DPRK wanamiliki "nyuklia" toka kipindi cha Uongozi wa Kiongozi wao mkuu Kim IL Sung na hilo wala halina ubishi. Falsafa yake ni kujilinda dhidi ya adui yeyote na hawachokozi mtu. Wamesimama imara kipindi chote kwenye Military Demarcation Line against South Korea kwa kipindi chote bila kutetereka licha ya backup kubwa anayopata South Korea kutoka USA.Hehehe huyu mdingi level nyingine.
Jong Eun asipo kaa sawa anaweza angushwa, marekani wabaya sana, jamaa unakuta wana simulation zote washai-study north korea vizuri wakiamua ni ku-execute plan tu. Kauogauoga kaliopo sasa hivi ni kama jamaa ana nuclear maana ile kitu hata wakiideflect ikatua north hapohapo bado UN itawalaumu maana watu zaidi ya laki lazima waangushe, Jong Eun naye ni kichaa kapewa rungu, ndugu yake yesu kabisa yule jamaa.
Siku north ingesema iamue iingie kwenye democracy, dunia nzima itafanya sherehe, south kila mwaka wanaomba waungane ila north hiyo dalili hakuna hata kidogo.
DPRK wanamiliki "nyuklia" toka kipindi cha Uongozi wa Kiongozi wao mkuu Kim IL Sung na hilo wala halina ubishi. Falsafa yake ni kujilinda dhidi ya adui yeyote na hawachokozi mtu. Wamesimama imara kipindi chote kwenye Military Demarcation Line against South Korea kwa kipindi chote bila kutetereka licha ya backup kubwa anayopata South Korea kutoka USA.
Trump ajenge kwake maana sioni wapi anakereka na DPRK