Mbwa wanachukuliwa kama kitoweo nchini Korea Kusini. Biashara ya nyama ya mbwa inajumuisha mbwa milioni 1, migahawa 6000 na asilimia 10 ya wakazi wanatumia kitoweo hicho.
Watu wa asia wanakula kila kitu kilicho hai kuanzia mbwa,paka,nyoka,mamba,wadudu etc,juzi limekamatwa lori limejaa paka wanataka kuwapitisha mpakani kuingia china
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.