Mwanamke ambaka dereva wa teksi Marekani

Mwanamke ambaka dereva wa teksi Marekani

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,622
Reaction score
8,427
Mwanamke mmoja katika jimbo la Ohio nchini Marekani ameshtakiwa kwa kum'baka dereva mmoja wa teksi kwa kutumia kisu kabla ya yeye na mwanamume mwengine kumuibia kulingana na maafisa wa polisi.

Brittany Carter mwenye umri wa miaka 23, anadaiwa kufanya tendo la ngono na dereva huyo mwenye umri wa miaka 29 huku Corey Jackson mwenye umri wa miaka 20 akimshikia kisu shingoni.

Maafisa wa polisi wanasema kuwa wawili hao waliiba dola 32 kutoka kwa mwathiriwa kabla ya kutoroka katika eneo la mkasa katika mji wa Findlay.

Hatujui ni kwa nini alifanya hivyo,luteni wa polisi Robert Ting alisema.Pengine ilikuwa hali ya kumpumbaza kwa sababu pia walimuibia pesa .

Unyanyasaji huo ulitokea baada ya bi Carter kumuita dereva wa teksi hiyo ya kampuni ya Trinity Express Cab mapema mnamo tarehe 28 mwezi Januari, kulingana na maafisa wa polisi.

Alikamatwa baada ya dereva kuripoti kisa hicho .

Bi Carter anakabiliwa na shtaka la ubakaji pamoja na lile la uhalifu katika mahakama ya kaunti ya Hancock.

Alishtakiwa mara mbili kwa makosa ya dawa za kulevya mwaka 2016 na anadaiwa kumiliki dawa ya kulevya aina ya heroine.

Bi Jackson hajakamatwa huku agizo la kukamtwa likitolewa kulingana na polisi.

Anashtakiwa kwa kuchochea wizi na njama ya kutaka kufanya ubakaji.

Chanzo: BBC/Swahili
 
Nilivyokuwa Na hamu ya mpunyenye kibolibo mnara halafu kimejileta chenyewe mithili ya almas kwenye mti WA mmbilimbi laiti ningekuwa Mimi ningetamani Kila siku nibakwe.sasa binti muchuchu Kama huyo nimripoti kwa mugambo Si naonekana khanithi namba bashite..
 
Looh umenichekesha khaa
 
ha ha
 
Mpaka mwanaume mmoja anaripoti Polisi, basi ujue ashawabaka wengi sana. Kwa kawaida inakuwa ngumu sana kwa sisi wanaume kutoa ripoti tunapobakwa na kinadada. Many will go with it to grave!
 
Hii fursa kwa Tz hv vitendo vipo kweli?
Vipo ila wengi wanakufa nayo kimyakimya,kuna wanawake wanatia stress nyie,unakuta upo na litukunyema limekuzidi nguvu mpaka mwili.
 
Nilivyokuwa Na hamu ya mpunyenye kibolibo mnara halafu kimejileta chenyewe mithili ya almas kwenye mti WA mmbilimbi laiti ningekuwa Mimi ningetamani Kila siku nibakwe.sasa binti muchuchu Kama huyo nimripoti kwa mugambo Si naonekana khanithi namba bashite..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahaha! Nacheka utafikiri Jambo zuri,
Nilidhani hii kitu imetokea Tanzania.

Kanyang'anywa Mali kisha kapewa Utamu aisee Huu wizi ni wa aina yake.

Dawa za kulevya inaonekana zilishamaliza ubongo wa Binti.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Huyo mwanaume hajabakwa ila alilazimishwa na yeye akakubali
 
Back
Top Bottom