Trump to North Korea Threats: We're Sending an Armada

Nalendwa

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
7,467
13,025
BBzLvro.img

President Trump said he is taking action after North Korea’s President Kim Jong-un threatened to nuke U.S. war ships.

“We are sending an armada, very powerful. We have submarines, very powerful, far more powerful than the aircraft carrier,” Trump told the FOX Business Network’s Maria Bartiromo. “We have the best military people on Earth. And I will say this: he is doing the wrong thing.”

Meanwhile, President Trump spoke with President Xi Jinping of China Wednesday over North Korea concerns. He said he was willing to help the U.S. with North Korea’s weapons program.

During a meeting last week at the White House, Trump and Xi discussed trade relations between China and the U.S. “I said, look, you have a tremendous power because of trading through the border. If they don't get food, they don't get, you know, they can't sell their coal.” In his opinion, “China will do much better on trade if they help us with North Korea.”

Trump also discussed cruise missile strikes against Syrian President Bashar al-Assad’s government in response to a chemical attack against their own people. Trump said Xi was “ok” with it and added that they get along.

“We have two very different countries, two very different peoples. But I think he understood the message and I understood what he was saying to me,” he said.

Trump on North Korea Threats: We Are Sending an Armada

download (1).png
 
Attachments

  • download.png
    download.png
    112.6 KB · Views: 45
Meanwhile...

Russian nuclear-capable bombers fly near Japan, US officials say

For the first time in nearly three months, Russia flew nuclear-capable “Bear” bombers near Japan, Wednesday, the latest sign of increasing tensions in the region, two US officials tell Fox News.

The officials said three Russian Tu-95 Bear bombers took off from a base in eastern Russia flying in the Sea of Japan and remained in international airspace.

One U.S. official described the Russian bomber flight as “clearly meant to send a message.”
 
BBzLvro.img

President Trump said he is taking action after North Korea’s President Kim Jong-un threatened to nuke U.S. war ships.

“We are sending an armada, very powerful. We have submarines, very powerful, far more powerful than the aircraft carrier,” Trump told the FOX Business Network’s Maria Bartiromo. “We have the best military people on Earth. And I will say this: he is doing the wrong thing.”

Meanwhile, President Trump spoke with President Xi Jinping of China Wednesday over North Korea concerns. He said he was willing to help the U.S. with North Korea’s weapons program.

During a meeting last week at the White House, Trump and Xi discussed trade relations between China and the U.S. “I said, look, you have a tremendous power because of trading through the border. If they don't get food, they don't get, you know, they can't sell their coal.” In his opinion, “China will do much better on trade if they help us with North Korea.”

Trump also discussed cruise missile strikes against Syrian President Bashar al-Assad’s government in response to a chemical attack against their own people. Trump said Xi was “ok” with it and added that they get along.

“We have two very different countries, two very different peoples. But I think he understood the message and I understood what he was saying to me,” he said.

Trump on North Korea Threats: We Are Sending an Armada
Hahahahaha, mwisho atapeleka mashoga akiona vimada vimefeli
 
Bila kusahau Russian Northern fleet imetia nanga hapo south korea nadhani on its way to syria,

also meanwhile korea ya kusini wamesema marekani sharti awasiliane nao kabla hajachukua hatua zozote za kijeshi dhidi ya north korea.

Ukweli ni kuwa kim ni very unpredictable,na korea ya kusini wakiendelea kumkubali Trump ule mji mkuu wa seoul utabaki majivu na mamilion watakufa ndani ya dakika chache mno.
Sasa ndo tutajua kati ya Trump na kim nani crazy kumzidi mwenzake
 
Trump (na Serikali ya Marekani kwa ujumla) watakuwa wanajiamini sana na huyu mtu asiyejali kutoa roho hata za ndugu zake wa damu. Kama ame declare kuwa he can go to war with the US, hashindwi kitu.

Hii back and forth ya maneno sijui mwisho wake vipi.
Hawa wawili wamekutana haswa.
 
Bila kusahau Russian Northern fleet imetia nanga hapo south korea nadhani on its way to syria,

also meanwhile korea ya kusini wamesema marekani sharti awasiliane nao kabla hajachukua hatua zozote za kijeshi dhidi ya north korea.

Ukweli ni kuwa kim ni very unpredictable,na korea ya kusini wakiendelea kumkubali Trump ule mji mkuu wa seoul utabaki majivu na mamilion watakufa ndani ya dakika chache mno.
Sasa ndo tutajua kati ya Trump na kim nani crazy kumzidi mwenzake
Unatamani kim awe hivyo, hakuna ukweli uujuao.
Dalili zote zinaonyesha kim atacharazwa kama mtoto mdogo.
Mnamsifia kwa vijaribio vyake viwili vitatu vya vikombora?!!
Jiongezeni banaaa. Hata Sadam huseni alikuwa na mascud kibao akaishia kuyavurumisha yanaangukia majangwani.
 
Katika kuchambua maswala ya kijeshi watu wanaangalia angle nying sana si swala la nguvu ya kijeshi au kiuchumi bahati mbaya sana wachambuzi wengi wameshindwa kujua hili

Nataka niwambie Duniani wazungu ndio race pekee ambayo wanaona wao ndio viumbe walioumbwa kutawala races zingine leo mzungu wa SA mzungu wa Australia mzungu wa Canada wote ni sawa sasa linapokuja swala la Maslai ya wazungu duniani wanakuwa kitu kimoja na kama utaingilia maslai yao ni lazima utapigwa tu hata iweje lakini kuna nchi mbili ambazo wazungu wameshindwa kuzipiga si kwa sababu ya kuziogopa bali ni kwa sababu za Geographical

Nchi hizo ni KOREA na IRAN mnaweza kujiuliza US yeye ni Eagle ukimzingua tu kesho katua angalia Iraq angalia Afghanistan angalia Vietnam angalia Libya lakini watu wanajiuliza kwa nini Korea wanazingua toka enzi za Bush mpaka Trump lakini vimebaki vitisho tu? na wanaingia nae mkataba lakini anavunja japo mkataba unamufaisha yeye na kwa nini Iran anazingua mpaka Israel akataka kuzichapa nae wazungu wakamkataza vikabaki vikwazo tu ?

Hakuna kitu ambacho wazungu awakipendi kama kuaribiwa miundombinu yao na wananchi wake wajifiche kwenye mahandaki Experience ya world war ii hawataki kuirudia tena na ndio maana Utaona Pamoja na vurugu za Iran na North Korea hakuna hata mmoja aliyechukuliwa Military action

NORTH KOREA ni nchi ambayo inapatikana eneo la Pacific ambapo uwekezaji wa US na nchi za Ulaya ni mkubwa sana kuliko sehemu yeyote duniani yani China, Japani na South Korea China pamoja na Vurugu zake anategemea sana kufanya biashara na Ulaya na US kuliko sehemu zozote duniani na ndio maana wakati mwingine China ni vigumu kujua msimamo wake kama ilivyo kwa Russia

Japan na Korea ya kusini ndio hab ya uwekezaji mkubwa sana wa Ulaya na America na idadi ya raia wa Ulaya na America wanaofanya kazi katika nchi hzo ni kubwa sana na ndo maana serikali ya US wanawaprotect japan na Korea kusini na kuna wanajeshi wa US zaidi ya 53000 eneo la Pacific kwa ajili ya kulinda japan na Korea hapo bado sijawajumuisha wa Philippines

Kim rais wa korea kaskazini anajua hilo na ndio maana anatumia uwezo wake wa kijeshi kama mtaji japo anajua akipigana na US hakuna hata risasi yake itakavyo fika US lakini makombora kutoka Korea yatawasha moto majiji ya Korea kusini na Japan kitu ambacho si US au Ulaya pia hata Japan na Korea kusini hawataki kitokee hata siku moja kwani athari zake ni kubwa kiuchumi hata uchumi wa dunia utakwenda down ndio maana toka enzi za Bush mpaka Trump tutasikia vitisho tu ndio maana nasema ni vyepesi sana US kurusha makombora Syria kuliko kurusha mshale North Korea
pia NK ni mlango wa kuingia China na Russia kwani nchi ya Korea kaskazini ndio nchi pekee ktk eneo la Pacific inayoziunganisha China upande wa magharibi na upande wa kaskazini ni Russia so jiulize hawa jamaa wa china na Russia watakubali kuona US na NATO military Base zikiwa Pyongyang?

Nitakuja kuelezea kwa nini Iran mpaka sasa ni vitisho na vikwazo tu pamoja na eneo lote la Middle East wakiongozwa na Israel kumuona kama Iran ni threat kwa amani ya middle East
 
Bila kusahau Russian Northern fleet imetia nanga hapo south korea nadhani on its way to syria,

also meanwhile korea ya kusini wamesema marekani sharti awasiliane nao kabla hajachukua hatua zozote za kijeshi dhidi ya north korea.

Ukweli ni kuwa kim ni very unpredictable,na korea ya kusini wakiendelea kumkubali Trump ule mji mkuu wa seoul utabaki majivu na mamilion watakufa ndani ya dakika chache mno.
Sasa ndo tutajua kati ya Trump na kim nani crazy kumzidi mwenzake
Wakat Seoul ipo majivu bhasi North korea yoote itakua uji kipind hcho. Hpo ndo utjua nani kichaa huyo Kim kardashian au Trump
 
Unatamani kim awe hivyo, hakuna ukweli uujuao.
Dalili zote zinaonyesha kim atacharazwa kama mtoto mdogo.
Mnamsifia kwa vijaribio vyake viwili vitatu vya vikombora?!!
Jiongezeni banaaa. Hata Sadam huseni alikuwa na mascud kibao akaishia kuyavurumisha yanaangukia majangwani.
Watu hawaijui North Korea vizuri, hao ndio mabingwa wa propaganda duniani lakini hawana kitu. Unakuta eti wanafanya jaribio la kupeleka satelite au kifaa chochote angani, watapiga kelele wakati zoezi kama hilo lilifanyika miaka ya 1950s
 
Bila kusahau Russian Northern fleet imetia nanga hapo south korea nadhani on its way to syria,

also meanwhile korea ya kusini wamesema marekani sharti awasiliane nao kabla hajachukua hatua zozote za kijeshi dhidi ya north korea.

Ukweli ni kuwa kim ni very unpredictable,na korea ya kusini wakiendelea kumkubali Trump ule mji mkuu wa seoul utabaki majivu na mamilion watakufa ndani ya dakika chache mno.
Sasa ndo tutajua kati ya Trump na kim nani crazy kumzidi mwenzake
Toka vita vya pili vya Dunia Russia ilishawahi pigana vita gani ikashinda? Rejea Afghanistan Mujahidina waliwafukuza warusi wakatimka!
 
Some developing story.

Breaking News
@ BreakingNLive 4m
BREAKING NEWS !!UNCONFIRMED!! LIVE:NORTH KOREA; 600,000 Told to evacuate Along w/ 200 foreign journalists in [HASHTAG]#Pyongyang[/HASHTAG]. DEVELOPING pic.twitter.com/nJhadBs2tP.

andy
@ andymcg237 1h
# NorthKoreahas ordered [HASHTAG]#Pyongyangto[/HASHTAG] evacuate. Something big tomorrow.
View details·
 
Some developing story.

Breaking News
@ BreakingNLive 4m
BREAKING NEWS !!UNCONFIRMED!! LIVE:NORTH KOREA; 600,000 Told to evacuate Along w/ 200 foreign journalists in [HASHTAG]#Pyongyang[/HASHTAG]. DEVELOPING pic.twitter.com/nJhadBs2tP.

andy
@ andymcg237 1h
# NorthKoreahas ordered [HASHTAG]#Pyongyangto[/HASHTAG] evacuate. Something big tomorrow.
View details·
 
Some developing story.

Breaking News
@ BreakingNLive 4m
BREAKING NEWS !!UNCONFIRMED!! LIVE:NORTH KOREA; 600,000 Told to evacuate Along w/ 200 foreign journalists in [HASHTAG]#Pyongyang[/HASHTAG]. DEVELOPING pic.twitter.com/nJhadBs2tP.

andy
@ andymcg237 1h
# NorthKoreahas ordered [HASHTAG]#Pyongyangto[/HASHTAG] evacuate. Something big tomorrow.
View details·
 
Unatamani kim awe hivyo, hakuna ukweli uujuao.
Dalili zote zinaonyesha kim atacharazwa kama mtoto mdogo.
Mnamsifia kwa vijaribio vyake viwili vitatu vya vikombora?!!
Jiongezeni banaaa. Hata Sadam huseni alikuwa na mascud kibao akaishia kuyavurumisha yanaangukia majangwani.

Kumlinganisha Kim na Saddam ni kutoelewa uhalisia wa mambo. Sababu ni hizi:
  1. Kim ana nuke, Saddam hata biological weapons alisingiziwa na hakuwa nazo
  2. Kim anatengeneza silaha, Saddam alikuwa ananunua kwa mrusi.
  3. Kim ana bargaining chip kubwa (Skorea and Japan), bargaining power ya Saddam ilikuwa ndogo-Kuwait. Skorea na Japan wana vitu vingi vya kupoteza kuliko ilivyokuwa kwa Kuwait
  4. Kumpiga Saddam haikuwa kazi rahisi. Amepigwa mara 2. Mara ya kwanza alipigwa mtungo na nchi 11. USA ya Trump haina ubavu wa kushawishi nchi za ulaya ziingie vitani na mapanki. Hakuna uchumi wala pesa za kuchezea. Hapa kumbuka [HASHTAG]#BREXIT[/HASHTAG].
  5. Ni mwendawazimu tu anayeenda vitani na nchi yenye nuke. Wakati Trump, Japan na SKorea itabid wajiulize mara 2 kabla ya kutumia nuke, mapanki hatatumia hata sekunde 1 kuitumia. Sababu ni kwamba wakipigana kwa Nuke, nchi zote zina mengi ya kupoteza kutokana na uchumi imara, isipokuwa NKorea ambaye hata chakula ni shida.
  6. Saddam hakuwa na ujanja kwa kupiga ndani ya USA. Kim aka mapanki anaweza kupiga LA. Hakuna mtu anataka hiyo kitu.
  7. Mwisho, tension kama za NKorea zimekuwepo sana wakati wa vita baridi na mara kadhaa wameponea chupuchupu kupigana (USA vs USSR). Mara zote waliweza kujizuia kwasababu wanajua wote wana nuke. Nuke inaua hadi mende na kunguni-moja ya wadudu wagumu zaid kufa.
 
Analysis yako ni nzuri sana. Lakini pamoja na uzuri huu imekupasa utambue kuwa hayo makombora siyo stealthy, ukiyafyatua yanaonekana na yanashughulikiwa ipasavyo na mitambo ya kujilinda, kifuatacho hapo ni kuwa watakuonjesha utamu wa nuke.

Baadhi ya makombora ya Korea yana range ya kufika marekani, range peke yake sio kitisho cha maana.
Korea atapigwa hakika. Chukua maneno haya.
Tunapaswa kupeleka ujumbe kwa Iran kwamba wao ndio next. Assad sio kitisho tena kwa Jerusalem.
Hiyo ndiyo road map.
 
Back
Top Bottom