Julius Husseni
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 1,435
- 1,192
Kulingana na maendeleo ya sayansi na teknolojia kukitokea na vita hapana nchi itakayosalia bila kuathirika na hii vita na kwa madhara makubwa kiasi kisichotamkika.. Hivyo basi kwa wale wanaopenda kushabikia waache mara 1 badala yake Kila mtu kwa Imani yake aombe Mungu atuepushie na hii Tsunami itakayosomba ulimwengu wote.