chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,037
- 16,648
kutokana na kipinga mizi kingi kwa urusi. japo vyombo vya habari viki tangaza kuwa urusi ina weka vikwazo katika mkutano umoja wa usalama ulaya.hii inatokana zumuni USA kutimiza malengo yake kama kutaka kuipiga syria .urusi inakanusha kuwa shambulio la gesi ya sumu kusababishwa na kikundi cha kitikadi kali.japo syria ikipata tatizo kisiasa na machafuko.mwanya mkubwa kwa taifa kubwa USA kutumia mbinu hii.
