China: Ni hatari zaidi marekani kuishambulia North Korea kuliko Anavyofanya Syria

Ngoja ma Pro-USA waje

Marekani kwa biti nawakubali sana..... N.Korea wanatarajia kurusha kombora la masafa mafupi, kuonyesha kuwa kaidharau USA
 
North Korea anayo support kubwa tu na yeye pia binafsi yuko vizuri.

Sema, kwa.sababu USA ni propagandist mzuri basi, wote wanapiga magoti.

Kim Un , yeye aliisha sema siku USA itakapogusa ardhi yake basi Washington na Pentagon itakaa chini.

Pia, ogopa sana mtu ambaye vifaa vyake vingi havijawahi kufanyiwa majaribio katika vita na teknologia yake hakuna anayeifahamu.

Any way, USA hajielewi maana kila vita ni lazima atembeze kikapu cha washirika kumsaidia hakuna alipoenda akasimama yeye pekee!!

Awamu hii ni lazima tujue mbivu na mbichi,

China anajua mziki wa Kim Un , kuwa hauchezwi ovyo hovyo na anaelewa madhara yake yatagusa nchi za Asia takriban zote.

USA na North Korea acheni blah blah wekeni mizinga na nukes kazini bhanaaa tumechoka kungonjea.
 
Kim is a definition of a real man... That guy is crazy aiseee..

Yaani kuonyesha hajatishika na hao wajinga anaamua kufanya jaribio kabisa. Hii ni dharau ya hali ya juu US anaipitia..

Kila maadhimisho ya siku yake ya kuzaliwa hufanya jaribio la bomu la nyuklia.

Na huenda jumamosi akafanya hivyo.

Huyo ndio bwana mdogo KIMMY kama anavyojulikana na wahasimu wake.
 
Back
Top Bottom