Sokoro waito
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 2,201
- 2,598
Tunaendelea kujuzana yanayoendelea kwenye ulimwengu wa kibabe, trh 15 april 2017 itakuwa siku ya jua au ya kuzaliwa kwa baba wa taifa la N. Korea, kama kawaida yao huwa wanafanya mazoezi ya kijeshi na silaha za nyuklia, lakini taarifa zinaonyesha kuwa jana kim Jong Un aliamrisha wakazi wahame mji wa Pyongyang haraka sana, ila jambo linaloleta wasiwasi ni kuhusu jaribio la nyuklia linalodhaniwa kufanywa na jeshi la North korea trh 15 april 2017 lakini je Trump atavumilia bila kuivamia N. Korea? Yetu macho na maombi tu. Source: www.pravdareport.com